passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Mlikimbia nyie bure kabisa mpaka Leo mmeshindwa kuwamaliza alshabab wakati sisi wiki mbili tu tuliwaangamiza wote msumbijiUkipigwa lazima ulalamike na utie huruma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walifikiria vile ni vita gya drone, tena wana bahati wanaishi na KDF mle ndani lkn wangelifyekwa vibaya sana..
Ila vijana wetu wakupasua ubongo wakawahi faster kuwapeleka mbele za haki
Subutu[emoji1787][emoji1787]Mlikimbia nyie bure kabisa mpaka Leo mmeshindwa kuwamaliza alshabab wakati sisi wiki mbili tu tuliwaangamiza wote msumbiji
Wapi manda paliandikwa kumevamiwa kambi yote kando na sehemu ya USA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]umekuja moto yet bila kujua unaongea pumba.
haya twambie mkivamiwa kambi yote ni sector gani inatakiwa kupambana!!!
mama wa sectors[emoji38][emoji38][emoji38],poor kabisa.
hujasoma wanajeshi kadhaa wa us walikufa!!!Wapi manda paliandikwa kumevamiwa kambi yote kando na sehemu ya USA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jeshi la msumbiji lilishawashindwa siku nyingi wakachukua mpaka bandari wazee wa kazi tulipoingia tulitumia wiki 2 tu na hatuna sifa tutatangaze tulienda hukoSubutu[emoji1787][emoji1787]
Wale walipiga wakenda kupambana na jeshi la msumbiji...
Nani kakimbia ? Hahaa...infact KDF ilipeleka attack helikopta wakati askari wa ardhini waliwafunika Wanajeshi wa Merika ambao walikuwa wamezidiwa nguvu.Mlikimbia nyie bure kabisa mpaka Leo mmeshindwa kuwamaliza alshabab wakati sisi wiki mbili tu tuliwaangamiza wote msumbiji
Jamaa walivamia upande wa airstrip...hapo ndipo walipiga Rpg na kuwapata wamerikani wawili wakiwa wamelala ndani ya ndege fulani inayo tumika na CIA contractors kwa operations za kijasusi SomaliaWapi manda paliandikwa kumevamiwa kambi yote kando na sehemu ya USA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
aisee naona mpaka wana RPG, hizi silaha kubwa wanazipatia wapi?Makurutu wa Kenya Ranger Strikeforce waliokuwa katika mazoezi yao huko Lamu waliwaangamiza kadhaa
View attachment 1667371
Kama mliwamaliza mbona juzi Total wame sitisha shughuli zao baada ya mashambulizi?...ama bado hujapata habari.?Jeshi la msumbiji lilishawashindwa siku nyingi wakachukua mpaka bandari wazee wa kazi tulipoingia tulitumia wiki 2 tu na hatuna sifa tutatangaze tulienda huko
Vijana wanaaminishwa vitu visvyokuepo wanaingia mtegoni
Hata mimi ndo nashanga watakimbiaje na hata hawakuwa wakishika doria kwenye airstrip . .....Kambi ya Jeshi la Merika haikuwa lengo wala haikuathiriwa na pia eneo la Kenya Navy huko Lamu halikuathiriwa.Watakimbiaje sehemu ambayo hawakuwepo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huna unachokijua kuhusu kambi za jeshi tena joint[emoji1787][emoji1787]
Hata kule El Ade pia walikimbia, Kenya mnasifika sana kwa kukimbia duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watakimbiaje sehemu ambayo hawakuwepo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huna unachokijua kuhusu kambi za jeshi tena joint[emoji1787][emoji1787]
Hawana jeshi Kenya, they have gays in uniform [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umekuja moto yet bila kujua unaongea pumba.
haya twambie mkivamiwa kambi yote ni sector gani inatakiwa kupambana!!!
mama wa sectors[emoji38][emoji38][emoji38],poor kabisa.
Hili shambulio lilionesha jinsi gan KDF ni dhaifu walishambuliwa kwa nusu saa wakapoteza askari battalion nzima (hapa walikuwa wanaruhusiwa kujibu mashambulizi)Hata kule El Ade pia walikimbia, Kenya mnasifika sana kwa kukimbia duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaa compare oranges with oranges.. mnashambuliwa na mapanga kwa masaa 13 ?.hahaa....Usilinganishe impact ya VBIEDs na sucide bombers na mapanga.Hili shambulio lilionesha jinsi gan KDF ni dhaifu walishambuliwa kwa nusu saa wakapoteza askari battalion nzima (hapa walikuwa wanaruhusiwa kujibu mashambulizi)
jwtz walishambuliwa kwa masaa 13 wakapoteza askari 14 (jwtz walikuwa hawaruhusiwi kujibu mashambulizi zaidi ya kujihami) na kubwa zaidi hawakuacha kambi itekwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa compare oranges with oranges.. mnashambuliwa na mapanga kwa masaa 13 ?.hahaa....Usilinganishe impact ya VBIEDs na sucide bombers na mapanga.
Inahitajika nguvu ya ziada na security ya hali ya juu kukabiliana na haya mambo. Otherwise with this trend worst things are going to happen as these peoples are building up and expanding. Sometimes you feel as if there's security/intel lapse.Hao maSheikh wanao wapotoza vijana watafutwe vizuri sana huko Tz.
Sanasana maeneo ya Kilimanjaro,Arusha na Tanga...msiwafuate hawa wasomali kutoka hapo Namanga mtatumiwa tu
I repeat compare oranges with oranges..usilinganishe watoto wa congo na alshabaab.Najua unajua kabisa kuwa askari wa jwtz hawakushambuliwa na mapanga ila unajifariji tu
pia najua unajua kuwa lile shambulio la jwtz kuna tetesi kuwa lilipangwa na wakubwa na walitumia askari wenye waredi wa hali ya juu
kwaiyo mkishambuliwa na mabomu ndio kunahalalisha kupoteza askari battalion nzima na kuliwa tigo juu ndani ya kambi yenu [emoji23][emoji23]
Aliekuambia wakiingia kenya ndio wanakaa hapo nani. Wale ni wapitaji ni kama unavyoona wasomalia wakikamatwa hapa tz nao wanapita kwenda southafrika.akikamatwa ni bahati mbayaItabidii serikali ya Kenya imewatch hawa watanzania wanaoingia Kenya kwa makini sana.