Mtanzania alihusika katika shambulizi la Kambi ya Marekani huko Manda, Lamu

Amen.
Jana tuu nimesikia dw wanasema maeneneo yanayochimba gass mpaka mwa msumbiji wameshambulia sasa sijajua kama ni upande wa tz au laa bado nafuatilia
 
Mimi nashangazwa kwamba mtu anaslimu mwaka wa 2015 na miezi kadhaa huyo ashaenda vita somalia.

Jamaa kama huyo anaelewa dini kweli? Ama ni damu moto tu.
Kwa mafunzo ya kisomo anachokula kwa kweli hata mwezi tuu ameiva tena ana kuwa morali balaa
 
Itabidii serikali ya Kenya imewatch hawa watanzania wanaoingia Kenya kwa makini sana.
mpigwe tu si mekubali neo colonialist agenda na kuweka hayo makambi ya kivita...wanajua wakifanya ndani lazima wachapwe...tatizo wakenya mnapenda sana hifadhi matapishi ya tanzania mara Tundu lissu,mara lema ,na wengine wakati hujawahi sikia Tanzania tumemiwfadhi mwiguna mwiguna
 
Kwaiyo Ni haki yenu kupigwa na Al-shabab kisa wanatumia VBIED?

kwaiyo hamna uwezo wa kuzuia VBIED
I repeat compare oranges with oranges..usilinganishe watoto wa congo na alshabaab.
Hivi unajua VBIED ndo nini ?...
 
Mumeshambuliwa kw mapanga kisha bado mkachapwa
 
Hahaa compare oranges with oranges.. mnashambuliwa na mapanga kwa masaa 13 ?.hahaa....Usilinganishe impact ya VBIEDs na sucide bombers na mapanga.
Mi nawashangaa, mapanga aisee alafu wameketi massa yote hayo walsti elade walianza suicide bomber vehichles, RPGs za kumwaga kona zote za kambi..
 
I repeat compare oranges with oranges..usilinganishe watoto wa congo na alshabaab.
Hivi unajua VBIED ndo nini ?...
Mwambie huyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Wamuulize marekani kilichomkuta kule iraq baada kutumiwa vifaa visivyopungua kumi kw mpigo tena walikua wamepewa taarifa..
Defence systems zote wanazojisifua nazo ile siku hazikufua dafu
 
I repeat compare oranges with oranges..usilinganishe watoto wa congo na alshabaab.
Hivi unajua VBIED ndo nini ?...
KDF jeshi linaloongoza kwa kukimbia duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo vidume vi-5 vilipiga battalion nzima ya KDF na US-Navy wa-3? Hiyo ni madaharau aisee!
 
Unabishana na mafala hawaelewi protocols zozote za waAmerikani au CIA missions.

Wanasoma news za NewYork Times who peddle umbea kama za bongo. Bado hawajui kuna Camp Simba ambapo wanajeshi wanaishi and Manda airfield.

Kdf did not have any aircraft at the airstrip, zilikuwa za CIA na NIS tu.Airstrip yenyewe was not protected,just a fence. CIA wakifanya mission zao hawakuhusisha wakenya ndo maana waliouwawa ni marubani na air traffic controller.
 
Hawana jeshi Kenya, they have gays in uniform [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umesahau pale mtwara wavunja tofali mlichinjwa kama kuku na wengine wenu kuchana mbuga 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

Basi kdf na tpdf ni kitu kimoja🤣🤣
 
Kuna watanzania magaidi wanaitwa kina Njoroge kwa wanaojua watuambie Njoroge anatokea kabila gani Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…