The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Akikujibu nitaq mkuu.Wee jamaa kila siku unapinga uwepo wa Mungu na unasema daily mtu akifa hakuna Cha peponi Wala mbinguni.
Sasa unaposema R.i.p (rest in peace) hapo mahala pema ni wapi kama sio mbinguni ama peponi?πππ
Apumzike kwa amani.Wee jamaa kila siku unapinga uwepo wa Mungu na unasema daily mtu akifa hakuna Cha peponi Wala mbinguni.
Sasa unaposema R.i.p (rest in peace) hapo mahala pema ni wapi kama sio mbinguni ama peponi?πππ
Tatizo linaanzia hapa, Prosper Prosper! Sijui tutajulishana vipi mpaka tuwafikie wa nyumbani! Yote ni kheri.Wakuu tunatangaza msiba wa mtanzania Prosper Prosper ambaye alikuwa anaishi Marekani, amefariki kwa ajali ya gari.
Mtanzania huyu alikuwa anaishi Sugerland - Texas
Taarifa zaidi kukujiaView attachment 3085401
View attachment 3085402
Apumzike kwa amaniWakuu tunatangaza msiba wa mtanzania Prosper Prosper ambaye alikuwa anaishi Marekani, amefariki kwa ajali ya gari.
Mtanzania huyu alikuwa anaishi Sugerland - Texas
Taarifa zaidi kukujiaView attachment 3085401
View attachment 3085402
Hata ardhini ni mahala pema.Wee jamaa kila siku unapinga uwepo wa Mungu na unasema daily mtu akifa hakuna Cha peponi Wala mbinguni.
Sasa unaposema R.i.p (rest in peace) hapo mahala pema ni wapi kama sio mbinguni ama peponi?πππ
Nini kinafanya ardhini kuwe pema?Hata ardhini ni mahala pema.
Mbinguni(peponi) ni dhana za kufikirika za kujifariji tu.
Kujipa matumaini uchwara.
Mahala Pema huko udongoni ulishawahi ishi huko ukaliona hilo?Hata ardhini ni mahala pema
Pamoja na magumashi ya uislamu ila kwenye ndoa na mazishi wameupiga mwingi sana mtu akifa na azikwe popotewanasafirisha au wanasubiri michango ijae jae?
ila kuna fursa ya mtu kuanzisha bima ya kuwasafirisha hawa watu wakifa.
Unamuonea wivu hadi marehemu?Hivi kweli hili nalo la kuandikia uzi?
Wewe unafanya kipi cha maana Tanzania?Marekani marekani! Kuna cha maana wanafanya huko ! Any way familia poleni kwa msiba
Ngoja TuoneWachaga hawazikwi ugenini...hope atasafirishwa