TANZIA Mtanzania aliyekuwa anaishi Texas, Marekani afariki kwa ajali ya gari

TANZIA Mtanzania aliyekuwa anaishi Texas, Marekani afariki kwa ajali ya gari

Wee jamaa kila siku unapinga uwepo wa Mungu na unasema daily mtu akifa hakuna Cha peponi Wala mbinguni.

Sasa unaposema R.i.p (rest in peace) hapo mahala pema ni wapi kama sio mbinguni ama peponi?😂😂😂
Apumzike kwa amani.
Siyo mahala pema.
Kiranga atakujibu vizuri, hiyo tafsiri yangu.
 
Wee jamaa kila siku unapinga uwepo wa Mungu na unasema daily mtu akifa hakuna Cha peponi Wala mbinguni.

Sasa unaposema R.i.p (rest in peace) hapo mahala pema ni wapi kama sio mbinguni ama peponi?😂😂😂
Hata ardhini ni mahala pema.

Mbinguni(peponi) ni dhana za kufikirika za kujifariji tu.

Kujipa matumaini uchwara.
 
But they haven't said if the dude was a Tanzanian , i wonder how have you managed to recognize his nationality ?? Was he your friend or neighbor ?? .. coz the reporter only said it was a highway crush ,, i guess,, it would have happened to any us citezen ...

Is like you want to say the highway crush accident happened because a drive was Tanzanian ,, am i all right ?? If yes,, no that is not true coz the situation could happen toanyone .. all in all my condolences
 
Back
Top Bottom