TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 4,321
- 7,501
Atakuw tajir wa kwanz bila BIASHARA wa urithihizo b68 si sawa na uchumi wa mwaka mzima wa tanzania mwaka2022
kwaiyo akipata atakua bilionear wa kwanza maana Aliko dangote ana 11B
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuw tajir wa kwanz bila BIASHARA wa urithihizo b68 si sawa na uchumi wa mwaka mzima wa tanzania mwaka2022
kwaiyo akipata atakua bilionear wa kwanza maana Aliko dangote ana 11B
ChaiMtanzania Jabarldin Hamis Ijengo ametishia kwenda Mahakamani Kuishitaki Ubalozi wa Marekani Nchini Kwa madai kwamba haijamlipa pesa zake kufuatia kutoa taarifa za Siri na uhakika zilizowezeshwa kuuwawa Kwa Gaidi Maarufu bwana Osama Bin Laden.
View attachment 3000085
My Take
USA acheni Utapeli lipeni pesa za watu.
======
Did information that led to the killing of Osama bin Laden in Pakistan in May 2011 originate from Dar es Salaam?
This is a question that has remained unanswered for years, and it has now resurfaced following claims that a man in Dar es Salaam who tipped off the US security agencies about the whereabouts of bin Laden is demanding his reward of $27 million from the US government.
The Tanzanian man, Jabaldin Hamis Ijengo, has come forward alleging he played a key role in locating Osama Bin Laden.
Mr Ijengo says he provided crucial information to the US Embassy in Dar es Salaam in 2005 about Bin Laden's whereabouts in Pakistan.
The informant is now threatening to sue the US Embassy for the alleged failure to reward him for his instrumental role in disclosing the whereabouts of Bin Laden, ultimately leading to his death in 2011.
“Failure to comply with this demand will regrettably leave me with no choice but to pursue legal recourse, which may involve initiating court proceedings at your own risk and expense, without further notice,” warns the alleged informant.
The US Embassy in Dar es Salaam, through its spokesperson, Kalisha Holmes, declined to comment on the matter.
“While we cannot comment on ongoing law enforcement cases, all information provided to the Rewards for Justice programme is reviewed and vetted by the relevant authorities in the US,” Ms Holmes wrote in an email.
The informant, who spoke to The Citizen for the first time, says he has decided to come out publicly to claim his reward because he felt he was being denied what is truly his.
In 2015, The Citizen broke the story (Swipe to see coverage) when the claims were initially made. The matter has now resurfaced, with the man pursuing his reward for over 10 years now.
“It is because of the lengthy delays that it has become inevitable for me to come out,” said Mr Ijengo.
He reminded officials of the public offer made by the embassy in response to the 1998 attacks on US embassies in Dar es Salaam and Nairobi, wherein a reward of $27 million was promised for information leading to Bin Laden's location.
Chanzo: The Citizen
kumbe mtz ndo khusika kuuwa kwa OSAMA,sasa ngoja wa-taliban na hisbolah washushe rungu TzMtanzania Jabarldin Hamis Ijengo ametishia kwenda Mahakamani Kuishitaki Ubalozi wa Marekani Nchini Kwa madai kwamba haijamlipa pesa zake kufuatia kutoa taarifa za Siri na uhakika zilizowezeshwa kuuwawa Kwa Gaidi Maarufu bwana Osama Bin Laden.
View attachment 3000085
My Take
USA acheni Utapeli lipeni pesa za watu.
======
Did information that led to the killing of Osama bin Laden in Pakistan in May 2011 originate from Dar es Salaam?
This is a question that has remained unanswered for years, and it has now resurfaced following claims that a man in Dar es Salaam who tipped off the US security agencies about the whereabouts of bin Laden is demanding his reward of $27 million from the US government.
The Tanzanian man, Jabaldin Hamis Ijengo, has come forward alleging he played a key role in locating Osama Bin Laden.
Mr Ijengo says he provided crucial information to the US Embassy in Dar es Salaam in 2005 about Bin Laden's whereabouts in Pakistan.
The informant is now threatening to sue the US Embassy for the alleged failure to reward him for his instrumental role in disclosing the whereabouts of Bin Laden, ultimately leading to his death in 2011.
“Failure to comply with this demand will regrettably leave me with no choice but to pursue legal recourse, which may involve initiating court proceedings at your own risk and expense, without further notice,” warns the alleged informant.
The US Embassy in Dar es Salaam, through its spokesperson, Kalisha Holmes, declined to comment on the matter.
“While we cannot comment on ongoing law enforcement cases, all information provided to the Rewards for Justice programme is reviewed and vetted by the relevant authorities in the US,” Ms Holmes wrote in an email.
The informant, who spoke to The Citizen for the first time, says he has decided to come out publicly to claim his reward because he felt he was being denied what is truly his.
In 2015, The Citizen broke the story (Swipe to see coverage) when the claims were initially made. The matter has now resurfaced, with the man pursuing his reward for over 10 years now.
“It is because of the lengthy delays that it has become inevitable for me to come out,” said Mr Ijengo.
He reminded officials of the public offer made by the embassy in response to the 1998 attacks on US embassies in Dar es Salaam and Nairobi, wherein a reward of $27 million was promised for information leading to Bin Laden's location.
Chanzo: The Citizen
Huyu kama kuna MTU wake wa karibu, amshauri kwamba, atafute kichaka, aka Kate gogo.
Uncle Sam(USA), huwa hatishiwi, havimbiwi!
Masikini Jabarldin Hamis Ijengo, asaidiwe tuu kwa kupatiwa ulinzi under witness protection arrangements wasije kummaliza, huku taarifa zake hazikusaidia kitu!. The informant aliyewezesha Osama kukamatwa ni muuza mbonga mboga wa Pakistan aliyekuwa anawapelekea mboga mboga na matunda. Kama CIA, Mossad, FBI, Scotland Yard, MI.15 na MI.16 walishindwa, what are the chances of huyu jamaa wa Bongo.Mtanzania Jabarldin Hamis Ijengo ametishia kwenda Mahakamani Kuishitaki Ubalozi wa Marekani Nchini Kwa madai kwamba haijamlipa pesa zake kufuatia kutoa taarifa za Siri na uhakika zilizowezeshwa kuuwawa Kwa Gaidi Maarufu bwana Osama Bin Laden.
My Take
USA acheni Utapeli lipeni pesa za watu.
======
Chanzo: The Citizen
Kwao gaidi Osama ni muislam mwenzao, alikuwa anampigania alah!Duh
Hapa FaizaFoxy na Malaria 2 hutawaona 😂
Itakuwa alikuwa mwenzao.Tanzania kumbe sio ya kuchukulia poa?
Osama alitafutwa na Intel agencies zenye nguvu kuanzia CIA na Intel za Europe halafu mTanzania anakuja kuwapa info...
Au jamaa na yeye alikuwa akishirikiana na Al Qaeda?
Duh....Amejitongoza afu kajikubalia, aandae matanga yake mapema.
Huyu kama kuna MTU wake wa karibu, amshauri kwamba, atafute kichaka, aka Kate gogo.
Uncle Sam(USA), huwa hatishiwi, havimbiwi!
Masikini Jabarldin Hamis Ijengo, asaidiwe tuu kwa kupatiwa ulinzi under witness protection arrangements wasije kummaliza, huku taarifa zake hazikusaidia kitu!. The informant aliyewezesha Osama kukamatwa ni muuza mbonga mboga wa Pakistan aliyekuwa anawapelekea mboga mboga na matunda. Kama CIA, Mossad, FBI, Scotland Yard, MI.15 na MI.16 walishindwa, what are the chances of huyu jamaa wa Bongo.
Apatiwe tuu ulinzi kwa u snitch lakini info zake hazikuwa na maana yoyote, unless ni wale wataalam wa kuonyesha kwa zile njia za kitaalam za asili, apewe pesa zake!.
P
Hawajamlipa kwa sababu wanataarifa fichi kuwa huyo mbongo alikuwa kwenye payrol ya Osama, kilichomfanya amchome boss wake ni tamaa tu, kwa hiyo hata huyu naye alikuwa Wanted, sasa umpe former gaidi hela ili akafadhili ugaidi tena? USA si wajinga kiasi hichoNa inawezekana pia hela ilitolewa kupitia taasisi fulani watu wakaitia ndani 😄
Ova
Watamngoaa huyuHawajamlipa kwa sababu wanataarifa fichi kuwa huyo mbongo alikuwa kwenye payrol ya Osama, kilichomfanya amchome boss wake ni tamaa tu, kwa hiyo hata huyu naye alikuwa Wanted, sasa umpe former gaidi hela ili akafadhili ugaidi tena? USA si wajinga kiasi hicho