Mtanzania Aliyetoa Taarifa zilizopelekea Kukamatwa Osama Bin Laden Atishia Kuishitaki USA, asema hajalipwa pesa zake Bilioni 68

Chai
 
kumbe mtz ndo khusika kuuwa kwa OSAMA,sasa ngoja wa-taliban na hisbolah washushe rungu Tz
 
Masikini Jabarldin Hamis Ijengo, asaidiwe tuu kwa kupatiwa ulinzi under witness protection arrangements wasije kummaliza, huku taarifa zake hazikusaidia kitu!. The informant aliyewezesha Osama kukamatwa ni muuza mbonga mboga wa Pakistan aliyekuwa anawapelekea mboga mboga na matunda. Kama CIA, Mossad, FBI, Scotland Yard, MI.15 na MI.16 walishindwa, what are the chances of huyu jamaa wa Bongo.

Apatiwe tuu ulinzi kwa u snitch lakini info zake hazikuwa na maana yoyote, unless ni wale wataalam wa kuonyesha kwa zile njia za kitaalam za asili, apewe pesa zake!.
P
 

USA haina muda na huyu bwana kama ulivyosema info zake hazikuwa na faida yeyote so they have nothing against him whatsoever. Huyu atamalizwa na wenzake sio US hivyo apewe ulinzi na TZ against wenzake.
 
Na inawezekana pia hela ilitolewa kupitia taasisi fulani watu wakaitia ndani 😄

Ova
Hawajamlipa kwa sababu wanataarifa fichi kuwa huyo mbongo alikuwa kwenye payrol ya Osama, kilichomfanya amchome boss wake ni tamaa tu, kwa hiyo hata huyu naye alikuwa Wanted, sasa umpe former gaidi hela ili akafadhili ugaidi tena? USA si wajinga kiasi hicho
 
Haya mambo haya kwanza kabisa inabidi atoe maelezo alijuaje unaweza kupewa hizo pesa alafu ukahusishwa na ubalozi ulivyolipuliwa kama una contacts za watu wa karibu na mtuhumiwa na wewe sio ndugu yako wala sio undercover basi unaweza ukawa ni mshiriki...
 
Watamngoaa huyu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…