Mtanzania Aliyetoa Taarifa zilizopelekea Kukamatwa Osama Bin Laden Atishia Kuishitaki USA, asema hajalipwa pesa zake Bilioni 68

Mimi nasema asilipwe iwe fundisho kwa ma-snitch wote!
 
Jamaa hataki kufa kikondoo na kimaskini
Ngoja Sasa wamuue kiume

Ila Tiss wangechukua huyo jamaa angewapa info nyingi Sana
INGAwa sijajajua Mfumo wa ndugu kwa Sasa ukoje
 
kwani waliandikishana mkataba wowote? harafu kumbe wakina YUDA ISCARIOT ni wengi dunioani aisee
 
Huyu Mwongo mtupu.

Habari za Osama hazikutoka Dar. Kwenye kudhibiti ughaidi Marekani hawataki kufanya makosa. Asingetoa taarifa nyeti kama hizo halafu wakamwacha akazurule mitaani ambako hawajui ataongea na nani mwingine kuhsu habari hizo hizo.
 
Huyo muuza mboga ni pandikizi, nae ni askari... Labda walifata njia za huyo mbongo. Ila huyo snitch wa bongo anatafuta kuiaga dunia
 
Angalau angeenda Ubarozi wa US uliopo hapa aeleze shida yake labda watamsaidia! Vinginevyo anatafuta kifo cha kujitakia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…