Mtanzania Aliyetoa Taarifa zilizopelekea Kukamatwa Osama Bin Laden Atishia Kuishitaki USA, asema hajalipwa pesa zake Bilioni 68

Hata kama ametumia jina feki ila wahusika watajua n nani mana lazima watakuwa wanajua kuna Mtanzania anawadai
Kwa USA ni sawa wanamfahamu na wao sio tishio kwa usalama wake ila kwa jumuia za waislam wa Itikadi au siasa kali na wafuasi wa Osama ndio hawatamjua. Hao wangemjua uhalisia wake wasingemuacha salama huyo mtu.
 
Yaani alishirikiana na makafiri?
 
Bora atoswe tu, Mwamba aliweza ichangamsha dunia bwana, Akipoa wanakuja Israel saiv hakuna hata vihoja duniani.

Udevu ule fresh, R.I.P rafiki yangu
Siku mpendwa wako wa karibu atapouwawa kwenye shambulio la kujitoa mhanga ndio utaelewa nini maana ya "kuichangamsha dunia". Msiba sio msiba ukiwa kwa jirani yako.
 
Mbona tuliambiwa yupo Caribbean anakunywa mojito??
 
Suru
Tanzania kumbe sio ya kuchukulia poa?
Osama alitafutwa na Intel agencies zenye nguvu kuanzia CIA na Intel za Europe halafu mTanzania anakuja kuwapa info...

Au jamaa na yeye alikuwa akishirikiana na Al Qaeda?
Suruali fupi mwenzie
 
hizo b68 si sawa na uchumi wa mwaka mzima wa tanzania mwaka2022

kwaiyo akipata atakua bilionear wa kwanza maana Aliko dangote ana 11B
kijana ni Tanzania shilling bilioni 68 sio Usd b68.Hiyo ni pesa ndogo wahuni wengi tu wanazo kwasasa.
 
Jabir anamsagia kunguni osama .
Dola milioni 27 sio mchezo !
Kama alisaini mkataba kabla ya kutoa taarifa hizo atashinda kesi lakini Kama alienda kishambashamba Hata senti moja hataiona itakuwa kuna mtu wa ubalozi aliibeba hio taarifa na kupewa mshiko huku akimuacha mjinga mmoja wa bongo akisubiri.
 
Watammaliza
 
Huyu siyo miongoni mwa wale Watanzania wa kiki?
 
Hii ndo ile ya Mbwa kala mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…