Whatever is excellent.
Unadhani ni rahisi kama mlivyomuibia Mzee MAMVI 2015?Alikuwa wa tano, leo wa tatu, kesho atakua wa kwanza.... Kazi nzr sana...
Mtanzania kashika nafasi ya ngapi kwa womenDibaba hajapata hata medali ya mbao! Kashindwa na white american....
Mungu atamsaidia
magufuli kamsapoti wapi wewe usilete siasa kwenye jasho la mtu, simbu wa watu kapuyanga zake tu huko mtaani tunamfahamu,aheri hilo pongezi ungempa mke wake simbu ningekuona wa maana. Ila pongezi nyingi zimfikie jamaa Simbu popote alipo London pamoja na mke wake aliyemtia moyo kwa kazi yakeHongera magufuli kwa kumsupport kijana kutuwakilisha huko kwa kwini. Magufuli oyee
Sent using Jamii Forums mobile app
wengi hamuelewi vizuri historia inapokuja suala la riadha TZ mkoa wa Manyara ndo habari ya dunia wala c Arusha kama wanavyodhani wengiArusha ni mkombozi wa hii nchi katika kila nyanja
Kwani Simbu ni wa wapi..?wengi hamuelewi vizuri historia inapokuja suala la riadha TZ mkoa wa Manyara ndo habari ya dunia wala c Arusha kama wanavyodhani wengi
Wa TANZANIAKwani Simbu ni wa wapi..?
Kuna Dada aliwapita wenzake kama mita 100 hivi lakini akawa wa mwisho.hehe mkenya amepoteza mafuta akapitwa na mkenya mwingine anayekimbilia Bahrain akienda tu kumaliza mbio....
mkenya kapata silver na mmarekani kapata bronze...
womens marathon
1.Bahrain
2.Kenya
3.USA
Ushindwe na liroho lako la kukatisha tamaa...Nadharau ama naongea hali zetu.
tusidanganyane bana michuano
Yoyote sisi ni loosers tu.
Ha ha ha ha kwanza alianza mreno kakurupuka mbio mbele akachemsha! Akaja muingereza nae katangulia mbio mbio, wenye shughuli yao walipoanza akapotezwa kabisa!Kuna Dada aliwapita wenzake kama mita 100 hivi lakini akawa wa mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app