Mtanzania, Alphonce Simbu ashika nafasi ya tatu Marathon IAAF LONDON

Mtanzania, Alphonce Simbu ashika nafasi ya tatu Marathon IAAF LONDON

Sasa hivi yuko nafasi ya tatu...tumuombee..

=====

View attachment 559495

View attachment 559501

At 40km point, with just over a mile to go, Kenya's Geoffrey Kirui leads in 2:01.36. Ethiopia's Tamirat Tola is 52 secs back in 2nd. Tanzania's Alphonce Simbu is 1.22 off the lead in bronze.

978ea6cc572230359b0d87dc8770fdf5.jpg

Huyu jamaa nimuongeaji sana nikapoteza imani kwake kama wabongo wengine,kumbe na matendo in mzuri zaidi. Viva Gidabudai wale wajinga walituchelewesha sana.
 
Kwa miaka ijayo jamaa atafanya vizuri zaidi ya leo... last year alikuwa wa 5 sasa hivi kawa wa 3 .tutarajie makubwa kutoka kwake. Hongera saana.
Umri sasa utakuta hapo ashagonga nyundo 35

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Umri sasa utakuta hapo ashagonga nyundo 35

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Haha, cha kushangaza eti ni wa 1992. Na mkenya kirui ni wa 1993.

Ila huyu wa kwetu source zingine zinadai ni wa 1985. Sasa sijui which is which?
 
Haha, cha kushangaza eti ni wa 1992. Na mkenya kirui ni wa 1993.

Ila huyu wa kwetu source zingine zinadai ni wa 1985. Sasa sijui which is which?
Hahaha hii ndio Africa mzee kimuonekano tu yule over 30

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Hongera Simbu.. Ila huyu jamaa naona kuna makosa fulani ya umaliziaji mbio atakuwa anayafanya..

Naamini uwezo wake ni zaidi ya hiyo nafasi ya tatu.. Hata kwenye olympic angeweza kuja na medali.

Afanyie kazi udhaifu wa kumalizia mbio..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom