Mtanzania, Alphonce Simbu ashika nafasi ya tatu Marathon IAAF LONDON

Mtanzania, Alphonce Simbu ashika nafasi ya tatu Marathon IAAF LONDON

Maratthon ya wanawake inaendelea kuna wazungu watatu wanaongoza kwa mbali. Watanzania,kenya na ethiopia wanafuata...
 
Yaani mwanamke mzungu Muingereza anaongoza marathon? Unbelievable!
 
6a556eae78c3600bf653587ac8d0a970.jpg

Uhuru ameshampongeza mtu wake, sina uhakika hata kama mheshimiwa anajua kuwa leo simbu amekimbia!

Sent using Jamii Forums mobile app
nimecheka sana hiyo replay ya jamaa! hii inamanisha mtu au watu wakikuchoka hata useme kizuri vipi watu hawakusikiilizi
 
Well done Simbu
Sasa lazima tuinue hadhi ya michezo kwa nguvu, hali na mali
 
Hongera simbu. Japo naona Kama mwili unauachia. Yaan weight inakua kubwa..... Mtazamo wangu lkn
 
Back
Top Bottom