Mtanzania, Alphonce Simbu ashika nafasi ya tatu Marathon IAAF LONDON

Mtanzania, Alphonce Simbu ashika nafasi ya tatu Marathon IAAF LONDON

6a556eae78c3600bf653587ac8d0a970.jpg

Uhuru ameshampongeza mtu wake, sina uhakika hata kama mheshimiwa anajua kuwa leo simbu amekimbia!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu wa font fend yuko bizy na gari lake bovu linaitwa Bashiteeee aka Malyangili yaan mla nguruwe pori.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Medali ya kwanza ni silver 2005 alishinda Isengwe.
Screenshot_2017-08-06-15-58-53.png
 
Kenya sasa nambari tatu kwa medal table baada ya USA na Ethiopia
Mkuu hapa tunampongeza Simbu. Mafanikio ya Wakenya aanzisha uzi mwingine au tukutane kule jukwaa lenu.
 
Back
Top Bottom