Mtanzania, Alphonce Simbu ashika nafasi ya tatu Marathon IAAF LONDON

Mtanzania, Alphonce Simbu ashika nafasi ya tatu Marathon IAAF LONDON

Hongera magufuli kwa kumsupport kijana kutuwakilisha huko kwa kwini. Magufuli oyee

Sent using Jamii Forums mobile app
magufuli kamsapoti wapi wewe usilete siasa kwenye jasho la mtu, simbu wa watu kapuyanga zake tu huko mtaani tunamfahamu,aheri hilo pongezi ungempa mke wake simbu ningekuona wa maana. Ila pongezi nyingi zimfikie jamaa Simbu popote alipo London pamoja na mke wake aliyemtia moyo kwa kazi yake
 
448b1db02fd0810b5b4103ec776da44f.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom