Na pesa ya kutosha tu.Kama ile ya Brazil ilimpa wadhamini kama DSTV,hii itampa wengine zaidi na zaidi na itamuingizia pesa.Nafasi ya tatu sio mbaya...ina medali pia.
Hayo maisha alishaachana nayo zamani, Sasa hivi anakula vinono ndani ya udhamini wa Dstv.View attachment 559506 View attachment 559506
Huyu Kirui ni kama anatumia diesel,mapafu gani ya binadamu muda unavyozidi kwenda ndio anaongeza mwendo?
Ila Simbu kamkosa kosa sana yule Muethiopia nafasi ya pili,ni kama point 49 kwa 51.Si haba...Hela atakayopata inatosha sana sana kwa kuanzia maisha,maana jamaa alikuwa anakaa chumba kimoja tu na sebule kule Arusha.
Wakati ule majirani pale Arusha hawakujua kama ameenda Rio de Jeneiro kwenye Olympic,walishangaa kumuona na kumfananisha kwenye TV wakati anakaimbia.Mkewe akiwa nyumbani hana hata Tv kujua nini mume wake anafanya huko Brazil.
Mungu amtie nguvu,amzidishie na siku moja ampe medali ya ushindi ya dhahabu kwa moyo wake wa kujituma.Anatoka Singida vijijini sana,katikati ya jamii masikini.Kwa kipaji chake,Mungu atamjalia.
Kama namuona jamaa yangu Gidabudayi,mzee wa Shirikisho la Riadha Tanzania
Sasa hivi amejifungulia milango. World Championship Bronze Medallist sio mtu mdogo, ameingia kwenye historia ya riadha duniani.Na pesa ya kutosha tu.Kama ile ya Brazil ilimpa wadhamini kama DSTV,hii itampa wengine zaidi na zaidi na itamuingizia pesa.
Apate tu mtu wa kumuongoza vyema awekeze kwa ajili ya baadae
Asante sanaHayo maisha alishaachana nayo zamani, Sasa hivi anakula vinono ndani ya udhamini wa Dstv.
Huyu dogo yuko vzr, akiweka bidii zaidi atafika mbaliJamaa ametimua mbio yaani nimefurahi sana kuona mtanzania kajaribu namna hii....Simbu amemweza Kipketer wa Kenya ambaye amemaliza ktk nafasi ya nne...Tanzania is now in the medal table...infact most EA nations except Somalia, Burundi and Rwanda are on the medal table...congrats to the man Simbu!!! a true hero
Jamaa ametimua mbio yaani nimefurahi sana kuona mtanzania kajaribu namna hii....Simbu amemweza Kipketer wa Kenya ambaye amemaliza ktk nafasi ya nne...Tanzania is now in the medal table...infact most EA nations except Somalia, Burundi and Rwanda are on the medal table...congrats to the man Simbu!!! a true hero
Uko mbali na Tv na hapo hapo unawafuatilia kwa ukaribu, aisee kivipi sasa?Nipo mbali na Tv..nawafuatilia kwa ukaribu...
kwel aiseeMuEthiopia alikuwa hoi.....wangeongeza 5m tu angepitwa.
Sasa hiivi anaanza ku,deal na IAAF direct...atakuwa anaalikwa kabisa, marathonskama japan,usa,uk lazima wamualike...kwenye michezo mingine tungesema among top seeds.Hayo maisha alishaachana nayo zamani, Sasa hivi anakula vinono ndani ya udhamini wa Dstv.