balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Haijawahi kutokea mkuu,leta ushahidi.Si kweli 2005 Helsinki kwenye mashindano kama haya tulishukua silver
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijawahi kutokea mkuu,leta ushahidi.Si kweli 2005 Helsinki kwenye mashindano kama haya tulishukua silver
Mkenya mda wote alikuwa anageuka nyuma alichoka sana
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
kwel mkuu kabsaHuyu inabidi nae aendelezwe, kajitahidi.
Sio ushahidi niliyashuhudia.Ila unaweza ku google pia kama hutaiamini wikipedia 2005 World Championships in Athletics – Men's marathon - Wikipedia
Kumbe mnajielewa ninyi ni vichwa vya wendawazimu kila mtu anajifunza kunyolea tukiongea ukweli mnaona tunadharau. Kumbe kiuhalisia unajua hali zetu zilivyo wtz banaHuyu kijana tumuombee siku moja afute ile kauli ya Mzee Mwinyi
Jamaa huwa anajitahidi last few kms...hata Rio Olympics km chache za mwisho alitoka nafasi ya kumi hadi ya tanoMtanzania Joseph Simbu ashika nafasi ya tatu katika mashindano ya kimataifa ya raidha (IAAF) huko jijini London.
Simbu amepambana sana sana na kukaribia kushika nafasi ya pili
Tz na Ethiopia seknde 2 tu
Yeye ni Mtanzania, unaulizia kabila la nini, unataka kutambika?Hivi ni kabila gani uyu jamaa
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Kweli angekaza angechukua silver.. Ila yule mu Ethiopia aliyeshika ya kwanza ni nyoko kawaacha mbali sanaNi kweli kama Simbu angekaza angechukua Silver,hata hivyo kajitahidi ,katika mashindano haya hatujawahi kuchukua medal yoyote hata akina Bayi hawakuweza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi mkuu,nimekumbuka ni IsegwrSio ushahidi niliyashuhudia.Ila unaweza ku google pia kama hutaiamini wikipedia 2005 World Championships in Athletics – Men's marathon - Wikipedia
Hahahaha nataka nijue kabila nikaoe uko namimi nipate kijana wa MarathonYeye ni Mtanzania, unaulizia kabila la nini, unataka kutambika?
Mwambie tuu,simbu ni wa Arusha ya wezekana ni mmasai.Ameandaliwa sana toka aliposhika namba nne olympic ya Rio,Brazil.Yeye ni Mtanzania, unaulizia kabila la nini, unataka kutambika?
Wa kwanza ni Mkenya ,muethiopia wa pili.Kweli angekaza angechukua silver.. Ila yule mu Ethiopia aliyeshika ya kwanza ni nyoko kawaacha mbali sana
Had wazungu wanashika shika miguu yake labda wanajua plstik
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?