Bongo ukishinda cha wote utapata kila aina ya mapokezi mpaka '' House of common " utapelekwa
1. Hakuna channel hata moja ya bongo iliyoonyeha masindano hayo ili kuona mwenzetu anafanya nini
2. Chennel zote hata zile channel no. 2 zilizoundwa kwa ajili ya matukio kama hayo zilikuwa bize kucheza miziki ya maria solame na visingeli
3.Wafadhili woote wanapoteza fedha zao nyingi kudhamini mpira wa miguu , ambao umejaa maushirikina na vipaji hivyo hatuna
4. Hongereni sana multchoise kwa kusaidia kwa karne za karibuni wimbo wetu wa taifa kuimbwa ugenini, tunaomba na watu wenye nia nyema waende singida vijijini, arusha, musoma, na manyara kwenda kuchukua vipaji ambao wana uwezo wa kukimbia mpaka wakasahau kuwa wamemaliza tena peku peku. Suala la soka waachieni wasaniii na kamati zao za ufundi ila tukitakaka kujitangaza , majibu chap chap yapo kwenye riadha.