Mtanzania, Alphonce Simbu ashinda Medali ya Dhahabu Mumbai, India

Mtanzania, Alphonce Simbu ashinda Medali ya Dhahabu Mumbai, India

Hongera sana Limbu,wachana na hao wanawapa bendera ya Taifa wakata viuno,shame!
 
Huyu jamaa ndie wa Arusha kwa Iddi alikuwa akiishi maisha ya tabu na mkewe na mwanae mmoja ,yaani jamaa anaamka asubuhi yeye ni kukimbia tu kufanya mazoezi wengi wakamuona kama chizi vile akafanya maajabu RIO kwenye Olympic na sasa kashinda Mumbai ..kweli bidii na uvumilivu na discipline ni vitu muhimu sana

Hongera Simbu Mungu aendelee kukubariki mpaka ushangae
 
Dhahabu kweli
au ni chuma imepakwa rangi ya dhahabu!
Kama ni gold real, basi hongera zake!
 
Huyu jamaa ndie wa Arusha kwa Iddi alikuwa akiishi maisha ya tabu na mkewe na mwanae mmoja ,yaani jamaa anaamka asubuhi yeye ni kukimbia tu kufanya mazoezi wengi wakamuona kama chizi vile akafanya maajabu RIO kwenye Olympic na sasa kashinda Mumbai ..kweli bidii na uvumilivu na discipline ni vitu muhimu sana

Hongera Simbu Mungu aendelee kukubariki mpaka ushangae
....
.....igweeeeehh
 
Nashangaa hakupewa bendera
Hongera sana umetuandika vizuri
Tanzania tuweke priority haiwezekani mtu awnde kule hata bendera msimpe

Zaidi kaitangaza Dstv
 
Mwiraqw wa Arusha huyo jamaa, anakimbia sana sana, nakumbuka Olympic ya Brazil alishika nafasi ya 5 nadhani, na alikuwa aongoze ila sijui kuna nn kilitokea Brazil Olympic marathon akaumia mguu kidogo... Huyu Mwiraqw kwao ni Arusha..
 
Nilitangulia kusema ni MNYATURU(mrimi) wa Singida,tarafa ya Mungaa,kata ya Ntuntu,kijiji cha Mampando.Nilijua tu mtasema ni Mmbulu(muiraq).Wabongo waongo kama nini.
 
Hii ni faraja kubwa kwa wakati kama huu, hongera sana Alphonce.
 
Kijana yuko vizuri ila serkali isichelewe kumtunza na kumuenzi. Vinginevyo anaweza kupewa uraia nchi nyingine hasa za kiarabu na china tuwe makini
 
Bongo ukishinda cha wote utapata kila aina ya mapokezi mpaka '' House of common " utapelekwa

1. Hakuna channel hata moja ya bongo iliyoonyeha masindano hayo ili kuona mwenzetu anafanya nini

2. Chennel zote hata zile channel no. 2 zilizoundwa kwa ajili ya matukio kama hayo zilikuwa bize kucheza miziki ya maria solame na visingeli

3.Wafadhili woote wanapoteza fedha zao nyingi kudhamini mpira wa miguu , ambao umejaa maushirikina na vipaji hivyo hatuna

4. Hongereni sana multchoise kwa kusaidia kwa karne za karibuni wimbo wetu wa taifa kuimbwa ugenini, tunaomba na watu wenye nia nyema waende singida vijijini, arusha, musoma, na manyara kwenda kuchukua vipaji ambao wana uwezo wa kukimbia mpaka wakasahau kuwa wamemaliza tena peku peku. Suala la soka waachieni wasaniii na kamati zao za ufundi ila tukitakaka kujitangaza , majibu chap chap yapo kwenye riadha.
 
Huyu jamaa ndie wa Arusha kwa Iddi alikuwa akiishi maisha ya tabu na mkewe na mwanae mmoja ,yaani jamaa anaamka asubuhi yeye ni kukimbia tu kufanya mazoezi wengi wakamuona kama chizi vile akafanya maajabu RIO kwenye Olympic na sasa kashinda Mumbai ..kweli bidii na uvumilivu na discipline ni vitu muhimu sana

Hongera Simbu Mungu aendelee kukubariki mpaka ushangae
True nasikia ni kutoka Singida lakini anaishi Arusha pia Olympic alikuwa watano. MUNGU amemlipa juhudi zake zimezaa matunda.
 
Back
Top Bottom