Pre GE2025 Mtanzania anatekwa nchi jirani hakuna tamko lolote kutoka serikali ya Tanzania, hii ina maana gani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nani alimtuma huko Nairobi
 
Ukiacha mdomo na kufuata maisha yako hata utekwi ila kila kukicha unahangaika na watu nchi ya Tanzania haina mamlaka yakuongea lolote maana wanajua tu alipeleka kihere here huko wakamwonyesha . Jigambe kwenu .

Kwa watu ishi kwa stepu . Tanzania haijamteka katekwa huko Kenya , nikenya iongee kwanini wamemteka raia wa Tanzania na hujui chini ya kapeti ninini kinaendelea maisha ya kujifanyaga unajua ni mbaya MIND YOUR OWN BUSINESS IF YOU MIND OTHERS BUSINESS YOU WILL BE FUCKED .
 
Bado wanafinyanga maneno watoa tu
 
Amnesty International wamesema mkosoaji wa serikali ya saa 100 atekwa kenya unatakiwa utumie akili za kichwani kuelewa hizo zako za matyako utasubiri sana
 
Pia karibu media zote zimezibwa midomo zisitangaze tukio hilo. Ni gazeti la mwanachi pekee lililojitutumua kwa kuziandika kwa woga. Hili linatuonyesha kuwa serikali ya Samia ndiyo inayoratibu utekaji na mauaji ya raia wasio na hatia
 
Unataka Serikali au Samia aongee nini Kwa mtu ambaye hafaidiki naye Kwa chochote??

Hata wewe mleta mada leo Samia akiskia Kuna lolote baya limekukuta hawezi hata kushtuka, maana hauna significant impact yoyote kwake.

Huku kwenye Moira lazima atoe neno maana amegundua ndio sehemu pekee ya yeye kumaintain popularity yake.
 
Amnesty International wamesema mkosoaji wa serikali ya saa 100 atekwa kenya unatakiwa utumie akili za kichwani kuelewa hizo zako za matyako utasubiri sana
Acha matusi na akili huna na hueleweki peleka ngideri huko kwenu
 
Huyo mtanzania unajua kweli ,je anafaida gani kwenye Taifa lake
 
Umekatengeneza kastori kama kakweli hivi...πŸ˜ƒπŸ˜†πŸ˜„

Niliwahi kukaa na Thom Nyimbo siku moja, nikajua ukweli jinsi unavyopindishwa.

Aliniambia, ukitaka kupindisha ukweli, upindishe huku unatumia sehemu ya ukweli kupindisha ukweli.

Aliniambia kwa mfano unasema " CCM imechokwa Sana... Lakini unadhani watu wengi wameichoka basi, ni watu wachache Sana tena wasio na shukrani"πŸ˜„πŸ˜†πŸ˜ƒ

Sasa wewe hapa umeutumia ukweli kuupindisha ukweli πŸ˜…
 
Simba ni kubwa sana kuliko Maria Sarungi.
 
Inashangaza sana!
 
DPW wameipinga watu wengi kutokana na uwekezaji Serikali iliokua imewekeza bandarini Magu angekupo bandari asingeitoa
 
Rais nimuajiliwa inatakiwa kutimiza uwajibu wake pamoja na kuthamini kila Raia wote bila kujali wanaomkosoa
 
Rais nimuajiliwa inatakiwa kutimiza uwajibu wake pamoja na kuthamini kila Raia wote bila kujali wanaomkosoa
Raisi Gani? Au namuongelea Samia huyu ambaye ameshajitanabaisha yeye ni kiziwi haskii Wala hajali chochote kuhusu malalamiko ya watu?

Samia huyu ambaye anawaambia watu kifo ni kifo tu haijalishi umekufa Kwa nini na huku akisema huu utekaji unaoendelea ni drama tu?

Please wapo maraisi wanaojali lakini sio huyu bibi WA kizanzibari asiyejali chochote kabisa kuhusu Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…