Pre GE2025 Mtanzania anatekwa nchi jirani hakuna tamko lolote kutoka serikali ya Tanzania, hii ina maana gani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Serikali inayofadhili utekaji haiwezi haiwezi kuongelea jambo ambalo imelifanya yenyewe.
 
Ubinadamu wako na utu wao haina thamani kwa kuwa kama unavyosema "wanaikashfu Serikali"

Kwani Serikali ni nini na Iko Kwa ajili ya nani?
Ni UDWANZI kuishi Nairobi na kutegemea kipato kutola NGOs baada ya kuibagaza nchi yako. Maria haoni lolote zuri linalofanywa na Serikali ya Samia
 
Serikali ya Tanzania na vyombo vya usalama vya Kenya(Serikali ya Kenya) ndiyo wahusika, Kenya walivyoonya pressure na kelele za 'mabeberu' zimekuwa kubwa immediately baada ya utekaji kutendeka wakaogopa na ku-abort mpango huo bila ya kuishirikisha serikali ya Bongo, hapo serikali ya Bongo ipagawa na kukasirika, vichwa vyao havijakaa sawa imekuwa ghafla hivyo hawajui waseme nini. To cut the long story short serikali ya TZ bado wana hasira kwa kusalitiwa wakati among watekaji kulikuwa na TISS wakirikiana na majasusi wa Kenya(hii ni kutokana na Maria alivyodai according to their accents).
Hapo serikali moja imeiudhi nyingine kwa kuwagwaya mabeberu, connections za Maria wako fast nadhani huwa wamejiaandaa kwa matukio ya aina hii hivyo they know the right people to call linapotokea tukio la aina hii. It's strange within minutes mabeberu(I mean mabeberu who holds big guns) wote makaanza kuweka pressure kwa serikali ya Kenya, goodness pressure ikawa kubwa mno kabla hajavushwa border na kuwaacha UVCCM(I mean field dudes wa TISS)wamepagawa bila ya kuwa na power za kufanya lolote.
 
Serikali haiwezi kukurupuka tu na tamko

Ziko Itifaki za Kimataifa πŸΌπŸ˜‚
Wala huwa haihitaji procedures ndefu, embassy iliposwa kutoa tamko immediately na kuitaka serikali ya Kenya ihakikishe usalama wa raia wa TZ aliyetekwa sadly serikali zote mbili(ya TZ na ya Kenya) zimehusika katika huo utekaji).
 
Lissu mwamba Kanyooka, hana makando, roho ya Simba, na anamipango thabiti ya mchakato wa katiba kwa namna yoyote huu mchakato ni Lazima unless tunataka nchi ya kisultan kama ilivyo Zanzibar
 
Nionavyo mie hii ina maana lolote jambo litukute !
 
Ni sawa na Tanzania itoe tamko kwa mtanzania anayejihusisha na biashara haramu
 
Hana lolote huyo unayemtetea, anateka na kuua. Si yeye aliyesema kifo ni kifo mbona yeye hafi?
 
Huyo mtanzania anaisaidia nini nchi kukuza pato la taifaπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe unaisaidia nini nchi yetu kukuza pato la taifa, sana sana umewekwa kwenye section ya kupiga pesa kama anavyofanya Samia na watoto zake.
 
Kiki za kupiga Hela na wazungu wa haki za binadamu Yani mtu akuteke harafu akuachie tu
 
Aliji stage mwenyewe kutafuta namna ya kupata political asylum ulaya
 
Aliji stage mwenyewe kutafuta namna ya kupata political asylum ulaya
Hana shida ya ulaya, inabidi usome na ujue historia ya mtu. Unayemsema huyo mama yake ni raia wa EU, maria hakataliwi mahali popote pale duniani. Akitaka kuishi anaweza na ana credentials za kutosha siyo kama wewe ukitaka kwenda Ulaya hadi udandie meli au upande mtumbwi kuvuka kwenda Italy. Mwache Maria siyo size yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…