Pre GE2025 Mtanzania anatekwa nchi jirani hakuna tamko lolote kutoka serikali ya Tanzania, hii ina maana gani?

Pre GE2025 Mtanzania anatekwa nchi jirani hakuna tamko lolote kutoka serikali ya Tanzania, hii ina maana gani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
DPW wameipinga watu wengi kutokana na uwekezaji Serikali iliokua imewekeza bandarini Magu angekupo bandari asingeitoa
Magufuli aliingizwa choo cha kike na Kipilimba kuhusu bandari ya Bagamoyo, angeitoa tu bila ya shida ikiwa angepewa shule ya viwango vile ambavyo baraza la wazee la CCM lilipewa katika kikao maalum alichokiandaa Samia katika kuondoa utata wa suala zima la bandari.
 
Mdudu alieingia ndani ya viongozi wakubwa wa chama changu ccm anaenda kukiharibu chama yaani madaraka na vyeo plus tamaa ni vya msingi kuliko maisha ya mpiga kura!

Najiuliza siku ikitokea Mwenyekiti wa chama,au makam mwenyekiti akatekwa asionekane na sisi tunyamaze!!?!!?

Najiuliza tu!
 
Wamewakashafu wapi? Unataka kila mtu awe kondoo kama wewe, tukae wote meeee!!! Tupisheee

Hata kama ni kukashifu, kama wamevunja sheria si wapelekwe mahakamani? Kwahiyo hivyo ndio "wanadeal" nao?
Sasa izo ndo gharama za uwana harakati mkuu,hata kifo..kwaio ulitaka anaowatukana kila siku wamtolee tamko.
 
Wala huwa haihitaji procedures ndefu, embassy iliposwa kutoa tamko immediately na kuitaka serikali ya Kenya ihakikishe usalama wa raia wa TZ aliyetekwa sadly serikali zote mbili(ya TZ na ya Kenya) zimehusika katika huo utekaji).
Hata kama Serikali ya kenya au ya TZ imehusika, lkn ilikua ni busara Embasy ya Tz Kenya kutoa hilo tamko.

Hawajui hata kula na kipofu.
 
Back
Top Bottom