Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua hilo. Ila siku hizi anaonekana Tweeter kuliko Magogoni. Anajifichaficha sana. Anyway, labda anakusanya nguvu za kampeni.Yupo mbona muda tu
Mwezi uliopita walitekwa watatu Pemba. Zikarudi maiti mbili.Hivi zenji hakunaga ishu za kutekana eeh?
Magufuli aliingizwa choo cha kike na Kipilimba kuhusu bandari ya Bagamoyo, angeitoa tu bila ya shida ikiwa angepewa shule ya viwango vile ambavyo baraza la wazee la CCM lilipewa katika kikao maalum alichokiandaa Samia katika kuondoa utata wa suala zima la bandari.DPW wameipinga watu wengi kutokana na uwekezaji Serikali iliokua imewekeza bandarini Magu angekupo bandari asingeitoa
Sasa izo ndo gharama za uwana harakati mkuu,hata kifo..kwaio ulitaka anaowatukana kila siku wamtolee tamko.Wamewakashafu wapi? Unataka kila mtu awe kondoo kama wewe, tukae wote meeee!!! Tupisheee
Hata kama ni kukashifu, kama wamevunja sheria si wapelekwe mahakamani? Kwahiyo hivyo ndio "wanadeal" nao?
MTU uandike 'harafu' halafu uwe na akili?Kiki za kupiga Hela na wazungu wa haki za binadamu Yani mtu akuteke harafu akuachie tu
Sawa mama dishi lako limeyumbaMTU uandike 'harafu' halafu uwe na akili?
Hata kama Serikali ya kenya au ya TZ imehusika, lkn ilikua ni busara Embasy ya Tz Kenya kutoa hilo tamko.Wala huwa haihitaji procedures ndefu, embassy iliposwa kutoa tamko immediately na kuitaka serikali ya Kenya ihakikishe usalama wa raia wa TZ aliyetekwa sadly serikali zote mbili(ya TZ na ya Kenya) zimehusika katika huo utekaji).