yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Duh!Tunamshukuru Mama Samia kwa huu ushindi wa mwanariadha Geay. CCM iliahidi sasa inatenda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Tunamshukuru Mama Samia kwa huu ushindi wa mwanariadha Geay. CCM iliahidi sasa inatenda.
Safi sana,tunataka kuona watu,wanamichezo aina hii
Wanaoitangaza nchi...
Achana na wale wakata mauno
Ova
Kwa vile ni imani yako endelea kuamini hivyo. Mimi naamini latika nilichoeleza.Punguza siasa. Riadha ni kipaji na sio utasema kwamba kwasababu tuko 60m ndo tutapata wanariadha kirahisi. Ingekuwa rahisi kwenye hizo mbio ungeona USA wametawala kwasababu hela wanazo na pia idadi ya watu ni wengi. Au ungeona hata Nigeria wametawala hapo. Mashindano kama ya Boston Marathon yanahusisha vile vipaji vya hali ya juu kabisa kwenye riadha yaani ile top layer kabisa. Hapo world record holder Kipchoge alikuwa wa 6. Kimsingi hapo ni vipaji vitupu. Kwa rekodi alizoweka Geay inaweza kuchukua hata miaka 40 kutokea mtanzania mwingine wa kuzifikia.
Hakuna cha kukubaliana hapa. Kama vipaji hakuna ni hakuna. Labda tuwe na vipaji vya kununua kama USA na nchi za kiarabu. Huko ukiwa na kipaji cha riadha unapewa uraia fasta na mpunga wa kutosha. Kama ingekuwa mambo ya sera na siasa unazoelezea ndo kila kitu basi nchi maskini kama Kenya, Ethiopia na Jamaica zingesumbua kwenye riadha.Kwa vile ni imani yako endelea kuamini hivyo. Mimi naamini latika nilichoeleza.
Mfano ni mpira wa Miguu. Kuna nchi zilikuwa chini mfano Japan na Korea kusini. Lakini mabadiliko ya sera na uwekezaji leo wapo juu. Unavipataje vipaji nabkuviendeleza ikiwa huna nia ya kufanya hivyo? Sera ni mwongozo.
Sitaki kubadili imani yako, endelea nayo na mimi ya kwangu inabaki hivyo. Tukubaliane kutokubaliana
Hii mbungi ilikuwa sio poa. Wakali watupuListi ya wanariadha wa "Marathon" kidunia na muda wao bora katika mabano ambao walishiriki "Boston Marathon":-
Eliud Kipchoge (KEN) 2:01:09 (WR)
Evans Chebet (KEN) 2:03:00
Gabriel Geay (TAN) 2:03:00
Herpasa Negasa (ETH) 2:03:40
Benson Kipruto (KEN) 2:04:24
Lelisa Desisa (ETH) 2:04:45
Shura Kitata (ETH) 2:04:49
Daniel Do Nascimento (BRA) 2:04:51
John Korir (KEN) 2:05:01
Nobert Kigen (KEN) 2:05:13
Ghirmay Ghebreslassie (ERI) 2:05:34
Andualem Belay (ETH) 2:05:45
Mark Korir (KEN) 2:05:49
Filmon Ande (ERI) 2:06:38
Andamlak Belihu (ETH) 2:06:40
Isaac Mpofu (ZIM) 2:06:48
Hamza Sahli (MAR) 2:07:15
Michael Githae (KEN) 2:07:28
Albert Korir (KEN) 2:08:03
Conner Mantz (USA) 2:08:16
Scott Fauble (USA) 2:08:52
Melikhaya Frans (RSA) 2:09:24
Matt McDonald (USA) 2:09:49
Nico Montanez (USA) 2:09:55
Mick Iacofano (USA) 2:09:55
Mustafa Mohamed (SWE) 2:10:03
Hendrik Pfeiffer (GER) 2:10:18
CJ Albertson (USA) 2:10:23
Nathan Martin (USA) 2:11:05
Colin Mickow (USA) 2:11:22
Wilkerson Given (USA) 2:11:44
Turner Wiley (USA) 2:11:59
Augustine Choge (KEN) 2:20:53
Ukilaza nacho ni kipaji. OvaHakuna cha kukubaliana hapa. Kama vipaji hakuna ni hakuna. Labda tuwe na vipaji vya kununua kama USA na nchi za kiarabu. Huko ukiwa na kipaji cha riadha unapewa uraia fasta na mpunga wa kutosha. Kama ingekuwa mambo ya sera na siasa unazoelezea ndo kila kitu basi nchi maskini kama Kenya, Ethiopia na Jamaica zingesumbua kwenye riadha.
Hakuna kitu unajua kwenye riadha. Baki kwenye siasaUkilaza nacho ni kipaji. Ova