Mtanzania apeperusha vema bendera ya Taifa kwenye Boston Marathon. Ashika nafasi ya 2

Safi sana,tunataka kuona watu,wanamichezo aina hii
Wanaoitangaza nchi...
Achana na wale wakata mauno

Ova

Hua nikisikiliza nyimbo za moro jazz, vijana jazz, msondo, sikinde, tabora jazz, na rhumba za akina tabuley, franco, madilu, werrasoni, fela kuti, unajua wanamuziki zamani waliimba bana acha siku hizi, unamsikiliza jumbe au komando hamza kalala au ongala au chidumule unaona jamaa walikua na test yao hawa basi tu walituburudisha enzi hawapati hata pesa lakini walifanya na kutumikia vipaji vyao
 
Kwa vile ni imani yako endelea kuamini hivyo. Mimi naamini latika nilichoeleza.

Mfano ni mpira wa Miguu. Kuna nchi zilikuwa chini mfano Japan na Korea kusini. Lakini mabadiliko ya sera na uwekezaji leo wapo juu. Unavipataje vipaji nabkuviendeleza ikiwa huna nia ya kufanya hivyo? Sera ni mwongozo.

Sitaki kubadili imani yako, endelea nayo na mimi ya kwangu inabaki hivyo. Tukubaliane kutokubaliana
 
Hakuna cha kukubaliana hapa. Kama vipaji hakuna ni hakuna. Labda tuwe na vipaji vya kununua kama USA na nchi za kiarabu. Huko ukiwa na kipaji cha riadha unapewa uraia fasta na mpunga wa kutosha. Kama ingekuwa mambo ya sera na siasa unazoelezea ndo kila kitu basi nchi maskini kama Kenya, Ethiopia na Jamaica zingesumbua kwenye riadha.
 
Listi ya wanariadha wa "Marathon" kidunia na muda wao bora katika mabano ambao walishiriki "Boston Marathon":-

Eliud Kipchoge (KEN) 2:01:09 (WR)
Evans Chebet (KEN) 2:03:00
Gabriel Geay (TAN) 2:03:00
Herpasa Negasa (ETH) 2:03:40
Benson Kipruto (KEN) 2:04:24
Lelisa Desisa (ETH) 2:04:45
Shura Kitata (ETH) 2:04:49
Daniel Do Nascimento (BRA) 2:04:51
John Korir (KEN) 2:05:01
Nobert Kigen (KEN) 2:05:13
Ghirmay Ghebreslassie (ERI) 2:05:34
Andualem Belay (ETH) 2:05:45
Mark Korir (KEN) 2:05:49
Filmon Ande (ERI) 2:06:38
Andamlak Belihu (ETH) 2:06:40
Isaac Mpofu (ZIM) 2:06:48
Hamza Sahli (MAR) 2:07:15
Michael Githae (KEN) 2:07:28
Albert Korir (KEN) 2:08:03
Conner Mantz (USA) 2:08:16
Scott Fauble (USA) 2:08:52
Melikhaya Frans (RSA) 2:09:24
Matt McDonald (USA) 2:09:49
Nico Montanez (USA) 2:09:55
Mick Iacofano (USA) 2:09:55
Mustafa Mohamed (SWE) 2:10:03
Hendrik Pfeiffer (GER) 2:10:18
CJ Albertson (USA) 2:10:23
Nathan Martin (USA) 2:11:05
Colin Mickow (USA) 2:11:22
Wilkerson Given (USA) 2:11:44
Turner Wiley (USA) 2:11:59
Augustine Choge (KEN) 2:20:53
 
Hii mbungi ilikuwa sio poa. Wakali watupu
 
Ukilaza nacho ni kipaji. Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…