Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unao ushahidi wa tuhuma hizi dhidi yake??Ana bahati sana, analeta uswahili mbele ya wapiga kunfu!! Nasubiri wafia ubaguzi wajilete hapa kumtetea mdhalilishaji
Unao ushahidi wa tuhuma hizi dhidi yake??
Vizuri hawana shidaila jamani leo tuongee....China ni nchi ya kuishi kweli ukiwa mtu mweusi?
Ndio maana kuna nchi huwa siendi. Nchi kubwa lakini mambo utafikiri nchi za dunia ya tatu!