Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Liverpool imeshanunuliwa mstake kuchekesha watu hapa..na mnunuzi wa ukweli hafanyikazi kwenye magazeti au kwene tv..he simply goes for it..acheni komedi zenu ..mtachekwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli yule bwana nilipomwona asubuh nikajiuliza maswali mengi pasipo majibu....Yaani dhairi anataka umaarufu tu..sasa akinunua liverpool tanzania itafaidika na nn?.Ila mdau hapo juu ni kweli usemayo kawaida charity starts at om sasa hata kuonesha mapenzi yake kwenye soka la bongo hatujamsikia..au ndo one of the friends of simba?!
hapana sio wote tunaomdharau,la!,ila napenda niseme hivi,kwanini asingejitolea hata kusaidia watanzania maskini hususan kule vijijini wasio na uhakika wa hata mlo 1kwa siku,madawa hospitalini,huduma za jamii kwa kufikia walengwa moja kwa moja kwa hela hizo anazotaka kununua liverpool kwanza kabla ya yote?hata Abramovich anasaidia sana ktk kuinua uchumi wa Russia uliosambaratika hasa baada ya kuvunjiva kwa muungano wa nchi za kisovieti,aanzie kwanza nyumbani akionyesha uzalendo,au la sivyo hakuwa na haja ya kujitangaza yeye ni mtz ile hali hasaidii ktk kutaka kuinua tzWabongo bwana kwa kuzarauliana!!, mko juuuuu mno. Kama angekuwa mchina au mkenya ndo anataka kuinunua liverpool wala msingechonga. Kweli nabii hakubaliki kwao!!!, nimeamini sasa. Badala ya kupongeza mnaanza kuingiza siasa, ndo hatuendelei.
Mkuu you have made my dayMiafrika ndivyo tulivyo,tu mijitu ya hovyo,jitu linaaga nyumbani kwake eti linaenda kwenye kituo cha televisheni kutangaza nia ya kununua klabu cha uingereza ,hiyo tv haionekani hata kyela sembuse uk,
Tom Hicks ana worth $ 1 billion kwa mujibu wa Forbes Magazine ya 2009, na mwenzake Gillett ana biashara kadhaa na shares kwenye kampuni kadhaa zinazomuingizia million kadhaa.Lofa yeyote anaweza kutengeneza business plan, kukopa hela benki na kununua club. Hata Gillett and Tom Hicks ni malofa tu. Walikopa
Owner wa Man Utd ana miliki Tampa Bay Buccaneers.Hivi kumbe Yule aliyenunua man u Naye alianza kusaidia time za Kwao marekani eeeh
Huyo jamaa alikuwa wapi siku zote kubid amesubiri mpaka wamejitokeza wanunuzi waliopitishwa na board ndio anajitokeza. anataka limelight tu hakuwa serious.