Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda
Senior Member
- Feb 1, 2023
- 101
- 244
SOURCE :CHANZO CHA HABARIHivi South Africa kuna nini mbona watanzania wanakufa sana kwa mnaoifahamu South africa je Ni vibaya kwa watanzania Kwenda Kutafuta maisha huko na je ni mitaa ipi ambayo ni salama kwa Kuishi kama mtanzania atapenda Kwenda Kuishi ili Asiuwawe?
Mtanzania Anaeitwa Mohhamed Hassan Ameuwawa Kwa Kuchomwa Visu Na Watu Wasio Julikana taarifa hii imetolewa katika kundi Lao liitwalo mabaharia the sailors lililopo Facebook.
JE SOUTH AFRICA SIO SEHEMU SALAMA YA KUISHI KWA MTANZANIA MFANO MTU UNATAKA KWENDA NA FAMILIA YAKO AU WEWE MWENYEWE UKAISHI?. View attachment 2634089View attachment 2634088
Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
Kumbe kule South kazi hamna ni UhalifuHao wanaojiita mabaharia pale Durban wengi ni wahuni tu na wabwia mihadharati hawana kazi na nin watu waliokata tamaa. Wengi walikwenda kule kwa lengo la kuwa na maisha bora kwa kuzamia meli ila wameishia kuwa wazururaji wanaoshinda na kulala chni ya madaraja na nje ya maduka.
Matukio kama hayo ya kuchomana visu mara nyingi wanafanyiana wenyewe kwenye makundi yao au kulipa visasi vya uhalifu.
Ukiangalia vizuri sura ya hayati huyo utanielewa
Ni wazi huyu bwana hakua huko kisheria hebu rudini nyumbani msitutilie aibu huko Sasa sura utafikiri mtu yupo Ubungo Durban gani uso umefwafwanzika hivyo si ndio vibaka wenyewe hao ushauri wangu wabongo mjitafakari hukoHao wanaojiita mabaharia pale Durban wengi ni wahuni tu na wabwia mihadharati hawana kazi na nin watu waliokata tamaa. Wengi walikwenda kule kwa lengo la kuwa na maisha bora kwa kuzamia meli ila wameishia kuwa wazururaji wanaoshinda na kulala chni ya madaraja na nje ya maduka.
Matukio kama hayo ya kuchomana visu mara nyingi wanafanyiana wenyewe kwenye makundi yao au kulipa visasi vya uhalifu.
Ukiangalia vizuri sura ya hayati huyo utanielewa
CHANZO: INASIKITISHA SANA AISE**** sura ukiziona tu unajua huyu ni mwizi
Dah! Rest in peace Baharia. Kupitia huo muonekano wako, no comment. Ulikuwa ni Baharia aliyekamilika kabisa.Hivi South Africa kuna nini mbona watanzania wanakufa sana kwa mnaoifahamu South africa je Ni vibaya kwa watanzania Kwenda Kutafuta maisha huko na je ni mitaa ipi ambayo ni salama kwa Kuishi kama mtanzania atapenda Kwenda Kuishi ili Asiuwawe?
Mtanzania Anaeitwa Mohhamed Hassan Ameuwawa Kwa Kuchomwa Visu Na Watu Wasio Julikana taarifa hii imetolewa katika kundi Lao liitwalo mabaharia the sailors lililopo Facebook.
JE SOUTH AFRICA SIO SEHEMU SALAMA YA KUISHI KWA MTANZANIA MFANO MTU UNATAKA KWENDA NA FAMILIA YAKO AU WEWE MWENYEWE UKAISHI?.
View attachment 2634089
South Africa na USA ni mahali pa kutalii tu na kuchapa lapa, kuna nchi zina amani hazina hata majeshi ya Wananchi zaidi ya Polisi tu.Hivi South Africa kuna nini mbona watanzania wanakufa sana kwa mnaoifahamu South africa je Ni vibaya kwa watanzania Kwenda Kutafuta maisha huko na je ni mitaa ipi ambayo ni salama kwa Kuishi kama mtanzania atapenda Kwenda Kuishi ili Asiuwawe?
Mtanzania Anaeitwa Mohhamed Hassan Ameuwawa Kwa Kuchomwa Visu Na Watu Wasio Julikana taarifa hii imetolewa katika kundi Lao liitwalo mabaharia the sailors lililopo Facebook.
JE SOUTH AFRICA SIO SEHEMU SALAMA YA KUISHI KWA MTANZANIA MFANO MTU UNATAKA KWENDA NA FAMILIA YAKO AU WEWE MWENYEWE UKAISHI?.
View attachment 2634089
huyu ameuwawa na wahalifu wenzake!!!!',madawa ya kulevya!!!!,ata picha aliyopiga na facial impression inaonyesha ni m2 wa aiana gani!!!....ukiwa huko kihalali utaishi kwa amani lakini ukiwa huko kihalif utapata misukosuko,,,,,mbona kuna watz kibao wanafanya kazi halali wanaishi kihalali!Hivi South Africa kuna nini mbona watanzania wanakufa sana kwa mnaoifahamu South africa je Ni vibaya kwa watanzania Kwenda Kutafuta maisha huko na je ni mitaa ipi ambayo ni salama kwa Kuishi kama mtanzania atapenda Kwenda Kuishi ili Asiuwawe?
Mtanzania Anaeitwa Mohhamed Hassan Ameuwawa Kwa Kuchomwa Visu Na Watu Wasio Julikana taarifa hii imetolewa katika kundi Lao liitwalo mabaharia the sailors lililopo Facebook.
JE SOUTH AFRICA SIO SEHEMU SALAMA YA KUISHI KWA MTANZANIA MFANO MTU UNATAKA KWENDA NA FAMILIA YAKO AU WEWE MWENYEWE UKAISHI?.
View attachment 2634089
UK yenyewe haipiti siku 2 watu,vijana wanapigana visu tena UK mauaji ya visu it'd worseSouth Africa na USA ni mahali pa kutalii tu na kuchapa lapa, kuna nchi zina amani hazina hata majeshi ya Wananchi zaidi ya Polisi tu.
Iceland, Ireland ni amani tele mpaka inamwagika, labda uzingatie tu kutunza afya yako.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app