Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda
Senior Member
- Feb 1, 2023
- 101
- 244
- Thread starter
- #41
Nimekupata kaka... Ishu ya million mbili si ni mtaji wa Kuanzia maisha vipi ni kubwa Au ndogo kama ndogo ungefunguka tu ili iwe faida kwa wengi mana bado watu wanatamani Kwenda hukoNah man, sipo hapa kukukatisha au kumkatisha mtu yoyote tamaa, the truth must be told, ndicho tunachokifanya, kukupa black and white.
Mimi mwenyewe ni hustler na mtafuta riziki, popote kambi [emoji23]. Unaweza kurefer baadhi ya thread zangu huko nyuma kuhusu kuingia kiwanja.
The Tourist: Let's go to Bahamas, a way forwad to USA
"This heart of mine was made to travel this world" "Travel is my therapy" "To travel is to live" Wasalam, Kama title ya uzi huu inavyoeleza, lengo la uzi huu ni kutoa dondoo kadhaa kwa wadau wenzangu wa kujilipua nje ya hii continent so called "shithole" (D.Trump, Jan 10, 2018) [emoji36], and...www.jamiiforums.com
Ila kabla hujafanya move yoyote linapokuja swala la kutafuta green pastures kuna mambo ya kuconsider zile pigo za miaka ya 90’s kujilipua bila kucalculate risk kwangu mimi naona ni ujuha.
Mimi swala la kuingia viwanja vya afrika let’s say SA, namibia, botswana nilikataa nikasema nitatafuta namna yoyote niforce niingie Europe/America kwanza, hata kama nitachelewa lakini vema kuanzia huko, and YES 2019 i made it to Germany [emoji629].
Turudi kwenye comment yako bro, ivi kweli 2M unaamini unaenda kufanya nini SA mkuu? [emoji51]
Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app