TANZIA Mtanzania auawa kwa kuchomwa visu nchini Afrika Kusini

TANZIA Mtanzania auawa kwa kuchomwa visu nchini Afrika Kusini

Ni wazi huyu bwana hakua huko kisheria hebu rudini nyumbani msitutilie aibu huko Sasa sura utafikiri mtu yupo Ubungo Durban gani uso umefwafwanzika hivyo si ndio vibaka wenyewe hao ushauri wangu wabongo mjitafakari huko
Kamwene mkuu hiyo fwafwanzika inajieleza kabisa wewe ni ndugu yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi South Africa kuna nini, mbona Watanzania wanakufa sana? Kwa mnaoifahamu South africa je, ni vibaya kwa Watanzania kwenda kutafuta maisha huko na je, ni mitaa ipi ambayo ni salama kwa Kuishi kama Mtanzania atakaependa kwenda kuishi ili asiuwawe?

Mtanzania anaeitwa Mohhamed Hassan ameuwawa kwa kuchomwa visu na watu wasiojulikana, taarifa hii imetolewa katika kundi lao liitwalo mabaharia the sailors lililopo Facebook.

Je, South Afrika sio sehemu salama ya kuishi kwa Mtanzania, ikitokea mtu unataka kwenda na familia yako au wewe mwenyewe ukaishi?

View attachment 2634089

Ila huyu ni hustler, kokote tu ukiwa hustler kuuwawa kwa kisu ni kawaida, ni kwamba huelezwi na haitangazwi sana, hata humu yanatokea.
 
South Africa na USA ni mahali pa kutalii tu na kuchapa lapa, kuna nchi zina amani hazina hata majeshi ya Wananchi zaidi ya Polisi tu.

Iceland, Ireland ni amani tele mpaka inamwagika, labda uzingatie tu kutunza afya yako.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwa sababu blacks wapo huko
 
South Africa na USA ni mahali pa kutalii tu na kuchapa lapa, kuna nchi zina amani hazina hata majeshi ya Wananchi zaidi ya Polisi tu.

Iceland, Ireland ni amani tele mpaka inamwagika, labda uzingatie tu kutunza afya yako.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

Sio kweli, nimeishi Nashville USA, ni amani kuliko Masaki, hata ndege na wadudu wana thamani, nenda huko China town na maeneo mengine.
 
Tuendelee kupamabana wadau hapahapa,mbona wenzetu wanaotoka nje wakija huku wanona kuna fursa kibao na wakikomaa wanachomoa?inakuwaje sisi wazawa hatuzioni,hakuna mafanikio bila ya kutoka jasho tupambane vijana, kama umeandikiwa kutoboa utatoboa tu...
Hiyo unasema wewe

Kwa anayetaka kutoka aacha atoke

Ova
 
Sina sababu, USA nimeishi Mimi, sio Mjomba wangu, kuna maeneo salama sana ambayo hata Tanzania hakuna.
Basi tusipangiane namna ya kukubaliana mawazo, wewe ukiishi sehemu 1 ya USA si sehemu zote ulizoishi.

2010 nilikutana na Mu-Australia mmoja mtasha halikadhalika naye hakutaka kabisa kukubaliana na mawazo yako haya, alisema ni heri hata aishi kuzimu ila si USA.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Basi tusipangiane namna ya kukubaliana mawazo, wewe ukiishi sehemu 1 ya USA si sehemu zote ulizoishi.

2010 nilikutana na Mu-Australia mmoja mtasha halikadhalika naye hakutaka kabisa kukubaliana na mawazo yako haya, alisema ni heri hata aishi kuzimu ila si USA.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kuzimu si sehemu. Habari hii imekaa kishabiki zaidi.
 
Back
Top Bottom