TANZIA Mtanzania auawa kwa kuchomwa visu nchini Afrika Kusini

TANZIA Mtanzania auawa kwa kuchomwa visu nchini Afrika Kusini

Hivi South Africa kuna nini, mbona Watanzania wanakufa sana? Kwa mnaoifahamu South africa je, ni vibaya kwa Watanzania kwenda kutafuta maisha huko na je, ni mitaa ipi ambayo ni salama kwa Kuishi kama Mtanzania atakaependa kwenda kuishi ili asiuwawe?

Mtanzania anaeitwa Mohhamed Hassan ameuwawa kwa kuchomwa visu na watu wasiojulikana, taarifa hii imetolewa katika kundi lao liitwalo mabaharia the sailors lililopo Facebook.

Je, South Afrika sio sehemu salama ya kuishi kwa Mtanzania, ikitokea mtu unataka kwenda na familia yako au wewe mwenyewe ukaishi?

View attachment 2634089
Huyo mtanzania sasa.. laugh [emoji2] hihihihhh

Arooohh.. SA alikuwa anafanya shughuli gani maana tuliosomea Cuba hiyo picha Inatia wasiwasi asee
 
IMG-20230523-WA0001.jpg
 
Mjomba wangu mmoja ni Professor yuko huko kwa zaidi ya miaka 20 sasa, awali qlikuwa New York ila sasa hivi yuko Miami, anakwambia ukiwa ngozi nyeusi uliyetokea nnje ya USA afu wazawa weusi wakakugundua lazima watakutenga tu bila sababu tena wanakuchukia na wabinafsi mno kuliko hata ambavyo wangekuchukia Wazungu.

Anadai sababu kubwa huwa wanajiweka kwenye first class ya ubora wa maisha, akili, maarifa na hata elimu kuliko ngozi nyeusi yoyote itokayo nnje ya USA.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
House negroes
 
Kama katokea Magomeni Dar kwa asilimia kubwa huwa ni unga, maeneo ya Sinza, Manyanya, Mikocheni Yani Kinondoni kwa ujumla huwa ni Wazee wa short cuts success.

Vijana wenye 20 - 24 yrs tayari wanamiliki Land Rover Discovery 3 no D, ukichunguza kwa kina unakuta ni inshu ya unga, ujambazi au ushoga.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

[emoji12] Toyota discovery 3 teena ila JF mna burudani za kila aina
 
Ni wazi huyu bwana hakua huko kisheria hebu rudini nyumbani msitutilie aibu huko Sasa sura utafikiri mtu yupo Ubungo Durban gani uso umefwafwanzika hivyo si ndio vibaka wenyewe hao ushauri wangu wabongo mjitafakari huko
Bora wabaki hukohuko,huku wakirudi Tanzania wataongeza idadi ya panya road mtaani!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom