Mtanzania Dkt. Wendeline achaguliwa kuwa Mkurungenzi wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika anayesimamia Nchi 22

Wishing him all the best
 
Nampongeza sana,watu kama hawa ndiyo wenye faida siyo ile mijitu mingine imekalia wizi tu kucha kutwa na kuwa ving'ang'anizi wa madaraka kwa kufanya kila aina ya udanganyifu ili mradi tu wajitangaze washindi kwenye chaguzi mbalimbali huku mijitu mingine miongoni mwao ikijifanya ni watu wa ibada kumbe ni mashetani tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…