Mtanzania Dkt. Wendeline achaguliwa kuwa Mkurungenzi wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika anayesimamia Nchi 22

Kweli Mr Zarau.. mshahara kwa mwezi ni mil 650.. mshahara nwezi mmoja tu unafungua kiwanda Tanzania
Huo mshahara wa mwezi mmoja ni viinua mgongo vya wastaafu sita waliofanya kazi Tanzania kwa miaka 40 kwa kujituma sana kila mmoja.Na wakipokea tu,wanaimba ..."nani kama mama...anaupiga mwingi hadi basi"...!🤔🤔🤔
 

Weka na neno kanda ya Africa
 
Alikuwa ndiyo best student kwa BSc. Economics (P&D) hapo Mzumbe University, yaani kwa ufupi ni kipanga. Unakuta vipanga wengine wanarudi kufundisha wanaishia kuulizwa kwanini wanafunzi wamefeli hahaha. Ukiwa na akili usifanye kazi sehemu ambazo they don’t make you grow. Dr. Kibwe ni mfano wa kuigwa!
 
Mbona alianzia huko huko kwenye kufundisha
 
Mtu kapita TRA wizara za fedha kote kachafua mpaka kafika huko sio poa.....hapa ndio utamu wa elimu ulipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…