Mtanzania Erry Mars Afungua Website ya Kimataifa

Mtanzania Erry Mars Afungua Website ya Kimataifa

Sasa kwanini isiwepo menu juu upane wa kulia wa kuchange language na mtu akichange inachange alnguage ya page nzima. Japo kwenye menu maneno mengine wka kiswahili yatachekesha.
And how are you going to monetize it mkuu? Au business model ni siri ya kambi?
 
And how are you going to monetize it mkuu? Au business model ni siri ya kambi?
Kaka website zinafaida nyingi sema kwa Tanzania tumechelewa, Instagram na mitandao mingine haina uwezo wa kutunza kumbukumbu, ila website inao huo uwezo, Kuandikwa kwenye site ni mileji pia unaweza kufanya monetization kwa Google Ads pia unaweza tafuta kampuni wakawek matangazo yao hapo.

Ila focus kubwa ni taarifa, then mbeleni italipa🙏
 
Hahaha, unaweza kuikosoa kaka karibu🙏
Nakutania bana.... humu kuna wakati tunakosa userious tu. Hongera sana. Ni kweli website ni kali sana. Una haki ya kuiweka kwenye level ya kimataifa. Hongera mno. Kikubwa ifanyie promo ya kutosha watu waijue. Pia ongeza waandishi hata mmoja au wawili. Then acha kuandika story na kuweka cheo chako. Ukiona huna waandishi basi tumia neno "by our correspondent" hata kama habari zote unaandika wewe. Ili mlaji aone sio wewe pekee mwandishi.

Lakini pia tafuta urafiki na vijana wa mikoa mbalimbali au vijiwe mbalimbali uwe na namba zao za simu, mara kwa mara wacheki kukupa updates za kinachoendelea mikoani kwao upate contents. Zaidi zaidi kua na ushkaji na watu wanaohusika na michezo mbalimbali hao watakusaidia kupata BREAKING NEWS.

Sina la ziada nakutakia kila la heri na Mungu akubariki!!!

Labda la ziada litoke kwa Ashura😄😄
 
Back
Top Bottom