errymars
Member
- Dec 17, 2019
- 98
- 285
- Thread starter
- #21
Shukrani kaka, Nimepokea maoni yako, naelewa ndio kuna utani, Website imeanza operation jana so kwa sasa natafuta watu wa kuandika, ila tayari nimeshapata mtu mmoja.Nakutania bana.... humu kuna wakati tunakosa userious tu. Hongera sana. Ni kweli website ni kali sana. Una haki ya kuiweka kwenye level ya kimataifa. Hongera mno. Kikubwa ifanyie promo ya kutosha watu waijue. Pia ongeza waandishi hata mmoja au wawili. Then acha kuandika story na kuweka cheo chako. Ukiona huna waandishi basi tumia neno "by our correspondent" hata kama habari zote unaandika wewe. Ili mlaji aone sio wewe pekee mwandishi.
Lakini pia tafuta urafiki na vijana wa mikoa mbalimbali au vijiwe mbalimbali uwe na namba zao za simu, mara kwa mara wacheki kukupa updates za kinachoendelea mikoani kwao upate contents. Zaidi zaidi kua na ushkaji na watu wanaohusika na michezo mbalimbali hao watakusaidia kupata BREAKING NEWS.
Sina la ziada nakutakia kila la heri na Mungu akubariki!!!
Labda la ziada litoke kwa Ashura😄😄
Sitaki kutafuta mtu ili mradi, coz lazima tufuate taratibu za uandishi na taaluma yake. Hii by next year tupo hapa utaniambia sehemu ambayo itakuwa imefikia🙌