Mtanzania Erry Mars Afungua Website ya Kimataifa

Mtanzania Erry Mars Afungua Website ya Kimataifa

Ni nzuri. Ukipambana na taarifa zinazohitajika ni suala la muda, utaanza kupata matangazo na wadhamini.

Shida ni mafanikio yakianza, una bajeti ya kupambana na wahalifu wa mitandao na washindani wako? Kila la heri errymars
Tutapambana hivyo hivyo kaka hakuna kinachoshindikana
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Tutapambana hivyo hivyo kaka hakuna kinachoshindikana
Kila la heri errymars katika mapambano. Website design ni nzuri. Pambania taarifa sahihi za kuweka.

Maoni yangu:

Maono ni yako, siyo ya uma. Amini katika maono yako halafu chagua watu sahihi wachache wa kukushauri kuhusu maboresho na njia za kupita. Miluzi mingi inaweza ikakuchanganya.
 
Nimependa UI na rangi zake unaifanya iwe na mwonekano wa kimataifa. Ila sasa kwanini menu ni ya kiingereza, What's hot ni kiingereza huku tovuti ni ya kiswahili?
Ni ya kimataifa
 
Kila la heri errymars katika mapambano. Website design ni nzuri. Pambania taarifa sahihi za kuweka.

Maoni yangu:

Maono ni yako, siyo ya uma. Amini katika maono yako halafu chagua watu sahihi wachache wa kukushauri kuhusu maboresho na njia za kupita. Miluzi mingi inaweza ikakuchanganya.
Shukran sana 🙏
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom