Mtanzania Erry Mars Afungua Website ya Kimataifa

Shukrani kaka, Nimepokea maoni yako, naelewa ndio kuna utani, Website imeanza operation jana so kwa sasa natafuta watu wa kuandika, ila tayari nimeshapata mtu mmoja.

Sitaki kutafuta mtu ili mradi, coz lazima tufuate taratibu za uandishi na taaluma yake. Hii by next year tupo hapa utaniambia sehemu ambayo itakuwa imefikiaπŸ™Œ
 
Poa. Una jero hapo unitumie?
πŸ˜›πŸ˜›
 
Website ya Kimataifa alafu italeta faida gani wakati kuna websites za kimataifa uncountable Tz na duniani ziko kibao, yako ina utofauti upi? Ujue ukinunua hata shati usitangaze utaonekana mshamba na hujui dunia bado.
 
Kuwepo kwa Website nyingine haikuzuii kufungua ya kwako, kwaio kwa sababu mwenzako kanunua gari la bei gali wewe huwezi kununua? Think positive mzee...
 
Kuwepo kwa Website nyingine haikuzuii kufungua ya kwako, kwaio kwa sababu mwenzako kanunua gari la bei gali wewe huwezi kununua? Think positive mzee...

I am well ahead of you, nachosema ww kufungua website na kutangaza ina kipi exceptional, huelewi, sbb websites ziko nyingi sana na hazina tija, yako ina nini? Jibu hilo swali, unashindwa kujibu unaona as if someone is thinking negative, eleza website yako ina nini? Having website sio kitu cha kutangaza unless una dili na kitu fulani known au una biashara gani unafanyia, tueleze, usikute una website alafu wewe kazi yako ku copy and paste kazi za websites zingine of which haina maana.
 
Website yangu inautofauti mkubwa sana Naandika makala ambazo kwingine kuzipata ni ngumu. Mfano hii hapa πŸ‘‡

Big up kwa kazi uliofanya. Muonekano/ appearance ya website iko top notch.
Maoni yangu ni tumia na English ili upate traffik kutoka kote duniani ili uweze kui diversify isije ikawa tu ya level ya taifa kwan kwenye monetization traffik inayotok mbali ndo ina mpunga mrefu.

So far kinachoitajika ni consistency
 
Shukran sana kwa maoni yakoπŸ™
 
Ni nzuri. Ukipambana na taarifa zinazohitajika ni suala la muda, utaanza kupata matangazo na wadhamini.

Shida ni mafanikio yakianza, una bajeti ya kupambana na wahalifu wa mitandao na washindani wako? Kila la heri errymars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…