Kwakweli ubalozi wa Tz USA ni kichefu chefu kweliKati ya balozi zisizo na msaada ni huu ubalozi wetu wa Marekani. Hata ukiwa na ishu ya passport ni heri tu usafiri kurudi Bongo. Hata sijui wapo kufanya nini. Ni ufisadi tu na kutumbua pesa za visa!
Lakini pia yule binti balozi sijui alikuwa personal secretary wa nani yule mara vu bin vu eti kapewa ubalozi. Useless Embassy! 🚮🚮🚮
Houston TexasYupo mji gani huyu dada?
Mi sipo huko X, jitahidini limfikie hilo.Makamba pia linamuhusu hili kama ubalozi umeshindwa , tujitahidi kupushi hata X kule limfikie .
Ukienda nje kitu pekee kitakachokusaidia zingatia sana kwenda sehem za ibada .kama Ww ni mkristo Nenda kanisani na kama Ww ni muislam Nenda msiktini ,huko ndipo utakutana na watu sahihi .yani jichanganye maeneo ya ibada yako,tatizo sisi tukienda nje tunajiona tumefika yani tumeyamaliza mpaka unasahau ibada mwisho wa siku unajichanganya mtaani unasahau kilichokupeleka .ndugu zangu duniani kuna wema.sehem za ibadani kuna connection kubwa sana
napenda sana kuhukumu na kujiona nyie ni wasafi, we unajuaje kama huyo dada hakuwa anafanya hayo uliyosema?? Kwahiyo kwa miaka yote hiyo hakuna kiongozi wa hizo ibada aliewahi kusikia taarifa zake akaguswa kumsaidia??
Hujamaliza hiyo taarifa yako, au ulitakaka tu kutueleza kwamba kuna mtu alikuw TPDC akapelekwa U.K ?Kuna mdada mwingine alikuwa Lawyer wa TPDC anaitwa Belinda Ringo, very bright lady,alipomaliza mwaka mmoja wa ajira akapelekwa na TPDC UK
Huyu naye anahitaji msaada wauelewa toka lini mgonjwa wa akili akawa na ridhaa?😂😂 inawezekana wagonjwa wa akili bado ni wengi wengine Ndio Kama hao wako majumbani nibora kukaa kimyaUnafkiri bila kufanya hivyo watu wangeamini hilo analolisema....
And unapataje lidhaa kwa mtu mwenye matatizo ya akili tena uliyokuwa neglected.
Kuna wajinga wachache wanamlaumu jamaa kubwa amekosea kumdhalilisha nimewhnga sanaUmeonesha upendo na uzalendo wa hali ya juu....
Huyu naye anahitaji msaada wauelewa toka lini mgonjwa wa akili akawa na ridhaa?😂😂 inawezekana wagonjwa wa akili bado ni wengi wengine Ndio Kama hao wako majumbani nibora kukaa kimyaUnafkiri bila kufanya hivyo watu wangeamini hilo analolisema....
And unapataje lidhaa kwa mtu mwenye matatizo ya akili tena uliyokuwa neglected.
Dah! Dada ; na wewe unaungana na Ubalozi wetu huko eti yeye mleta dokezo ndo amsaidie na kwamba anamchoresha kwa dokezo hili ?.Sasa si ndo wee umsaidie hapo kwa kumuhifadhi na nk, huku ukisubiri ndugu zake wajitokezee.
Kumuacha ahangaike na huku unamtangaza, si unamchoresha tyuu.
Wana taarifa nimewasiliana nao sana bila mafanikio naona hili labda Rais aingilie Kati lakini sitaliachiachia njiani nitapata muafaka tuKwakweli ubalozi wa Tz USA ni kichefu chefu kweli
Usiombe upate changamoto nzito ndio utawajua ujinga wao
Kwanza hawajiamini waoga
Badala ya kuilaumu ubalozi kushindwa kuchukua hatua yoyote baada ya kupewa taarifa.Kuna wajinga wachache wanamlaumu jamaa kubwa amekosea kumdhalilisha nimewhnga sana
Ubalozi wetu wana habari ushahidi ninao kunasiku Rais wetu atakuja hapa marekani lazima ajue hili najua kukutana naye hapa marekani nirahisi sana Mimi sitanyamaza nataka mtu anichukulie hatua kwa kutaka kuokoa maisha ya huyu dadaDah! Dada ; na wewe unaungana na Ubalozi wetu huko eti yeye mleta dokezo ndo amsaidie na kwamba anamchoresha kwa dokezo hili ?.
Kwa kutoa dokezo tu tayari ni msaada mkubwa sana kwani sasa habari zimetufikia.
Sasa jamani labda cjui kwa nini ubalozi wetu huko nao, kwa majibu waliyotoa ni kwamba nao wamemtelekeza. Ni aibu mno kwa Taifa letu chini ya kiongozi wetu Mh.SSH ambaye ni mtu mwenye huruma na utu. Sasa hawa Balozi wanamwangusha. Wanalipwa kwa kodi zetu ss ambao ndo kaka zake na dada zake huyo binti tulio hapa Tz. halafu wao wanajisahau hivyo na kutoa majibu ya kejeli. Laiti ingel..... dah basi ngoja niishie hapo...
Tunakupongeza mleta dokezo na inaonekana pengine Balozi walikuwa wana hiyo habari lakini wakapotezea. Sasa umewaumbua.
Hizi ndio akili kama za ubalozi wetu USASasa si ndo wee umsaidie hapo kwa kumuhifadhi na nk, huku ukisubiri ndugu zake wajitokezee.
Kumuacha ahangaike na huku unamtangaza, si unamchoresha tyuu.
Kijijini kwao?Vilingeni wanasema uchawi hauvuki bahari.Huo utakuwa wa kwanza.Masikini dada wa watu isije kuwa watu wa kijijini kwao wamemroga.
Mungu amfanyie wepesi.
Kwandi,bila ndugu, hawezi kusaidiwa? Serikali zote yale yale. Angekuwa anatuma pesa nyumbani,angekumbukwa. Ila kwa vile fuse zimechomoka,ndo basi. Wangelipa uzito,si siku kadhaa anasafilishwa na kupelekwa hospital zinazowashughulikia,wakati watu wake wa karibu wakitafutwa?Just here to keep the thread alive. Asante kwa moyo wa kujali mtoa mada. Sala na dua ndugu na jamaa wapatikane aweze kuunganishwa nao na kupata msaada anaostahili.