DOKEZO Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada

DOKEZO Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kati ya balozi zisizo na msaada ni huu ubalozi wetu wa Marekani. Hata ukiwa na ishu ya passport ni heri tu usafiri kurudi Bongo. Hata sijui wapo kufanya nini. Ni ufisadi tu na kutumbua pesa za visa!

Lakini pia yule binti balozi sijui alikuwa personal secretary wa nani yule mara vu bin vu eti kapewa ubalozi. Useless Embassy! 🚮🚮🚮
Kwakweli ubalozi wa Tz USA ni kichefu chefu kweli
Usiombe upate changamoto nzito ndio utawajua ujinga wao
Kwanza hawajiamini waoga
 
Ukienda nje kitu pekee kitakachokusaidia zingatia sana kwenda sehem za ibada .kama Ww ni mkristo Nenda kanisani na kama Ww ni muislam Nenda msiktini ,huko ndipo utakutana na watu sahihi .yani jichanganye maeneo ya ibada yako,tatizo sisi tukienda nje tunajiona tumefika yani tumeyamaliza mpaka unasahau ibada mwisho wa siku unajichanganya mtaani unasahau kilichokupeleka .ndugu zangu duniani kuna wema.sehem za ibadani kuna connection kubwa sana
napenda sana kuhukumu na kujiona nyie ni wasafi, we unajuaje kama huyo dada hakuwa anafanya hayo uliyosema?? Kwahiyo kwa miaka yote hiyo hakuna kiongozi wa hizo ibada aliewahi kusikia taarifa zake akaguswa kumsaidia??
 
Unafkiri bila kufanya hivyo watu wangeamini hilo analolisema....
And unapataje lidhaa kwa mtu mwenye matatizo ya akili tena uliyokuwa neglected.
Huyu naye anahitaji msaada wauelewa toka lini mgonjwa wa akili akawa na ridhaa?😂😂 inawezekana wagonjwa wa akili bado ni wengi wengine Ndio Kama hao wako majumbani nibora kukaa kimya
 
Sasa si ndo wee umsaidie hapo kwa kumuhifadhi na nk, huku ukisubiri ndugu zake wajitokezee.

Kumuacha ahangaike na huku unamtangaza, si unamchoresha tyuu.
Dah! Dada ; na wewe unaungana na Ubalozi wetu huko eti yeye mleta dokezo ndo amsaidie na kwamba anamchoresha kwa dokezo hili ?.
Kwa kutoa dokezo tu tayari ni msaada mkubwa sana kwani sasa habari zimetufikia.
Sasa jamani labda cjui kwa nini ubalozi wetu huko nao, kwa majibu waliyotoa ni kwamba nao wamemtelekeza. Ni aibu mno kwa Taifa letu chini ya kiongozi wetu Mh.SSH ambaye ni mtu mwenye huruma na utu. Sasa hawa Balozi wanamwangusha. Wanalipwa kwa kodi zetu ss ambao ndo kaka zake na dada zake huyo binti tulio hapa Tz. halafu wao wanajisahau hivyo na kutoa majibu ya kejeli. Laiti ingel..... dah basi ngoja niishie hapo... :WeirdChamping:
Tunakupongeza mleta dokezo na inaonekana pengine Balozi walikuwa wana hiyo habari lakini wakapotezea. Sasa umewaumbua.
 
Mungu ni mkubwa sana! Mtu anaenda kuvurugikiwa pasipojulikanika. Kila mtu na jinsi mungu alivyomkadiria maisha 🙏
 
Dah! Dada ; na wewe unaungana na Ubalozi wetu huko eti yeye mleta dokezo ndo amsaidie na kwamba anamchoresha kwa dokezo hili ?.
Kwa kutoa dokezo tu tayari ni msaada mkubwa sana kwani sasa habari zimetufikia.
Sasa jamani labda cjui kwa nini ubalozi wetu huko nao, kwa majibu waliyotoa ni kwamba nao wamemtelekeza. Ni aibu mno kwa Taifa letu chini ya kiongozi wetu Mh.SSH ambaye ni mtu mwenye huruma na utu. Sasa hawa Balozi wanamwangusha. Wanalipwa kwa kodi zetu ss ambao ndo kaka zake na dada zake huyo binti tulio hapa Tz. halafu wao wanajisahau hivyo na kutoa majibu ya kejeli. Laiti ingel..... dah basi ngoja niishie hapo... :WeirdChamping:
Tunakupongeza mleta dokezo na inaonekana pengine Balozi walikuwa wana hiyo habari lakini wakapotezea. Sasa umewaumbua.
Ubalozi wetu wana habari ushahidi ninao kunasiku Rais wetu atakuja hapa marekani lazima ajue hili najua kukutana naye hapa marekani nirahisi sana Mimi sitanyamaza nataka mtu anichukulie hatua kwa kutaka kuokoa maisha ya huyu dada
 
Sasa si ndo wee umsaidie hapo kwa kumuhifadhi na nk, huku ukisubiri ndugu zake wajitokezee.

Kumuacha ahangaike na huku unamtangaza, si unamchoresha tyuu.
Hizi ndio akili kama za ubalozi wetu USA

Hivi akimchukua halafu usiku ukute kamchinja mwano itakuaje? Si mtaanza kulaumu tena kwamba kanini unamuona mtu ana shida ya akili na unamuhifadhi kwako?
Why risk wakati kuna watu wameajiriwa wanalipwa na wana bajeti ya mambo yote hayo?

Mara nyingi mtu akifanya jambo jitahidi kuangalia nia yake badala ya kukimbilia kutafuta ubaya
 
Just here to keep the thread alive. Asante kwa moyo wa kujali mtoa mada. Sala na dua ndugu na jamaa wapatikane aweze kuunganishwa nao na kupata msaada anaostahili.
Kwandi,bila ndugu, hawezi kusaidiwa? Serikali zote yale yale. Angekuwa anatuma pesa nyumbani,angekumbukwa. Ila kwa vile fuse zimechomoka,ndo basi. Wangelipa uzito,si siku kadhaa anasafilishwa na kupelekwa hospital zinazowashughulikia,wakati watu wake wa karibu wakitafutwa?
 
Back
Top Bottom