DOKEZO Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sasa si ndo wee umsaidie hapo kwa kumuhifadhi na nk, huku ukisubiri ndugu zake wajitokezee.

Kumuacha ahangaike na huku unamtangaza, si unamchoresha tyuu.
Nafikiri unafanya lililo ndani ya uwezo wako. Uwezi jua aina ya maisha anayoishi huyo jamaa, yanaruhusu "kumchukua kumuhifadhi"?.

Kwake alichofanya ni kujaribu kutoa msaada kwa vile alivyoweza, kwako ni kuchoreshana. Ni namna tu tunavyotafsiri mambo.
 
Unatakiwa kuelewa mipaka yako na kuheshimu privacy ya mtu.

Kwanza umeenda kumrekodi bila ya ridhaa yake, unalazimisha kumpa msaada wa hela ambao auhitaji; halafu unamposti mitandaoni huo ni udhalilishaji.

Pili unalazimisha msaada kwa mtu ambae ajakuomba na hataki hiyo ni kuingilia rights zake. Dada anaonekana ni mzima maana unakiri umewahi kuongea nae na hata hapo kwenye video inaonekana anajielewa huo uchizi unampa wewe.

Tatu hujui changamoto zake za maisha hadi kua homeless, ungeanzia kudadisi hapo kimetokea nini kwenye maisha yake hadi kufikia alipofika.

Nne kama lengo ni kutaka ndugu zake wapate habari ungeweza anzisha mada kwa title yoyote na ku-crop sura yake tu na kuomba msaada kama kuna mtu anamfahamu huyo dada wakupe details za ndugu zake uwape taarifa, wao ndio wana mamlaka ya kwenda serikalini na kuomba msaada arudishwe.

Umemkosea sana huyo dada na kumdhalilisha.
 
Ndiyo km hamsaidii kwa chochote, aache kumtangaza, anamchoresha dada was watu, mxxiiiiieeeeew.
 
Unatakiwa kuelewa mipaka yako na kuheshimu privacy ya mtu.

Kwanza umeenda kumrekodi bila ya ridhaa yake, unalazimisha kumpa msaada wa hela ambao auhitaji; halafu unamposti mitandaoni huo ni udhalilishaji.

Pili unalazimisha msaada kwa mtu ambae ajakuomba na hataki hiyo ni kuingilia rights zake. Dada anaonekana ni mzima maana unakiri umewahi kuongea nae na hata hapo kwenye video inaonekana anajielewa huo uchizi unampa wewe.

Tatu hujui changamoto zake za maisha hadi kua homeless, ungeanzia kudadisi hapo kimetokea nini kwenye maisha yake hadi kufikia alipofika.

Nne kama lengo ni kutaka ndugu zake wapate habari ungeweza anzisha mada kwa title yoyote na ku-crop sura yake tu na kuomba msaada kama kuna mtu anamfahamu huyo dada wakupe details za ndugu zake uwape taarifa, wao ndio wana mamlaka ya kwenda serikalini na kuomba msaada arudishwe.

Umemkosea sana huyo dada na kumdhalilisha.

Wakosoaji hua hamkosekani. Hamna jema.
 
Sasa si ndo wee umsaidie hapo kwa kumuhifadhi na nk, huku ukisubiri ndugu zake wajitokezee.

Kumuacha ahangaike na huku unamtangaza, si unamchoresha tyuu.
Ukikutana na chizi unayemfaham utamkamata na kumpeleka nyumbani kwako ama utapigia simu ndugu zake unaowafaham uwaelekeze ndugu Yao alipo.
Mbona amefanya jambo jema tu my sister.
 
Wakosoaji hua hamkosekani. Hamna jema.
Shit happens hizo nchi unakuta mtu hana makaratasi na hana marafiki au wanamtosa anaishia kuwa homeless and stressed.

Binafsi binamu yangu ni ‘on and off’ teja. Ugonjwa wake mkewe, mara mwisho mkewe kumtibua na jumba kubwa (home office) kuto renew makaratasi yake ya kusafiri (japo ana haki zingine) amekuwa teja na kibaka zaidi ya miaka 10 sasa anaishi mtaani. Ana ndugu zake wa tumbo moja na cousins kadhaa watu wamepigana kumsaidia mpaka wamechoka.

Kuna watu wanaanza kutumia madawa ya kulevya wanajiaribia maisha wenyewe.

Kuna watu hawana kazi au rent wanaishia kufukuzwa kwenye nyumba wanazoishi na hakuna wa kuwasaidia na kuna watu wana stress za papers.

Sababu ni luluki

Mwisho kabisa kwenye medical ethics kuna dhana ya right ‘uwezi kumpa mtu dawa au matibabu’ ambayo yeye hataki.

Alikadhalika kwa kanuni za Geneva convention on human right ‘kila mtu ana haki ya privacy and being treated with dignity’ uwezi kwenda kurekodi maisha ya mtu tena akiwa at her worst na kuitangazia dunia, wakati mwenyewe anamwambia hataki.

Jamaa kamkosea sana huyo dada
 
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.

Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya ya Akili, sijui nini kiliendelea baada ya hapo kati lakini kilichofuata amekuwa chizi na analala barabarani, amekuwa akifanyiwa ukatili wa kingono na Wanaume mara nyingi bila kuwa na msaada.

Nilienda Ubalozini mara kadha pia kuripoti ili ikiwezekana huyu Mtanzania asaidiwe lakini kinachoonekana wao (Ubalozi) ndio wanataka nianze kufanya kazi yao.

Wanataka kufuatilie na kujua details zaidi kuhusu huyo Mtanzania na mambo mengine kama hayo, mimi siwezi kuingilia hayo masuala ya wao, wenyewe ndio wataalam, mimi nikiwapa taarifa wanatakiwa kujua nini cha kufanya baada ya hapo.

Huyu mtanzania ninamfahamu kwa jina moja tu anaitwa Jane, mitaa ya Houston ndani ya Texas.

Maisha yake ni chini ya Daraja, amekuwa hivyohivyo akiishi chini ya Daraja.

Nilivyoanza kumjua
Kuna siku nikiwa na mke wangu kwenye bustani flani akasikia tunazungumza Kiswahili, akajumuika nasi na kuanza kuzungumza na kisha kujitambulisha.

Tukazungumza naye kwa Kiswahili na akajieleza naye anatoka Ukanda wa Kaskazini kama nilivyo mimi hapo nyumbani Tanzania.

Bahati mbaya nimesahau jina lake la pili na hata sas aukisema umuulie huwezi kupata jibu hilo.

Nimeshatoa picha zake mara kadhaa sehemu tofauti ili anayemjua iwe ni ndugu zake, jamaa au marafiki wamsaidie lakini sijafanikiwa katika hilo, ndio maana nimeona nitumie JamiiForums kufikisha ujumbe huu nadhani utawafikia wahusika na wanaweza kumsaidia.

Nipo tayari kuto ushirikiano kwa ambaye anaweza kuhitaji kumsaidia huyu au kama anawez kumtambua, nimewasilisha mawasiliano yangu kwa JamiiForums kwa mtu ambaye atahitaji kuwasiliana nami.
Kwa nini usinsaudie na kukaa naye hapo mnapoishi?
 
Kuna mdada mwingine Belinda Ringo aliajiriwa na TPDC mwaka 2007 kama Lawyer. Baada ya mwaka mmoja TPDC wakampeleka UK kusoma Masters. Kufika huko akawehuka kabisa akakataa kurudi Tanzania. TPDC wakamfukuza kazi akiwa hukohuko. Jitihada za Familia yao zikafanikiwa wakamrudisha Tanzania lakini mpaka leo yupo TU nyumbani kwao Sinza karibu na Meeda akili haziko sawa
 
Unatakiwa kuelewa mipaka yako na kuheshimu privacy ya mtu.

Kwanza umeenda kumrekodi bila ya ridhaa yake, unalazimisha kumpa msaada wa hela ambao auhitaji; halafu unamposti mitandaoni huo ni udhalilishaji.

Pili unalazimisha msaada kwa mtu ambae ajakuomba na hataki hiyo ni kuingilia rights zake. Dada anaonekana ni mzima maana unakiri umewahi kuongea nae na hata hapo kwenye video inaonekana anajielewa huo uchizi unampa wewe.

Tatu hujui changamoto zake za maisha hadi kua homeless, ungeanzia kudadisi hapo kimetokea nini kwenye maisha yake hadi kufikia alipofika.

Nne kama lengo ni kutaka ndugu zake wapate habari ungeweza anzisha mada kwa title yoyote na ku-crop sura yake tu na kuomba msaada kama kuna mtu anamfahamu huyo dada wakupe details za ndugu zake uwape taarifa, wao ndio wana mamlaka ya kwenda serikalini na kuomba msaada arudishwe.

Umemkosea sana huyo dada na kumdhalilisha.
hajakosea mleta mada, amejaribu kuonesha sura yake cas si rahisi mtu kumfahamu bila sura, cas wengine yes tuna ndugu kibao US tena wengine ni students , inakua si rahisi kujua nani ni nani kwa maelezo tu

anahitaji kusaidiwa no need of privacy issue hapo, na ushaambiwa ana mental issue, or shida yako ni gani hapo? even if ni homeles, ndugu huku tz wakijua they may help somehow
 
Shit happens hizo nchi unakuta mtu hana makaratasi na hana marafiki au wanamtosa anaishia kuwa homeless and stressed.

Binafsi binamu yangu ni ‘on and off’ teja. Ugonjwa wake mkewe, mara mwisho mkewe kumtibua na jumba kubwa (home office) kuto renew makaratasi yake ya kusafiri (japo ana haki zingine) amekuwa teja na kibaka zaidi ya miaka 10 sasa anaishi mtaani. Ana ndugu zake wa tumbo moja na cousins kadhaa watu wamepigana kumsaidia mpaka wamechoka.

Kuna watu wanaanza kutumia madawa ya kulevya wanajiaribia maisha wenyewe.

Kuna watu hawana kazi au rent wanaishia kufukuzwa kwenye nyumba wanazoishi na hakuna wa kuwasaidia.

Sababu ni luluki

Mwisho kabisa kwenye medical ethics kuna dhana ya right ‘uwezi kumpa mtu dawa au matibabu’ ambayo yeye hataki.

Alikadhalika kwa kanuni za Geneva convention on human right ‘kila mtu ana haki ya privacy’ uwezi kwenda kurekodi maisha ya mtu tena akiwa at her worst na kuitangazia dunia, wakati mwenyewe anamwambia hataki.

Jamaa kamkosea sana huyo dada
Aisee
Unapigia mbuzi gitaa, hizi mbung'o bado ziko kwenye zama za ujima
 
hajakosea mleta mada, amojaribu kuonesha sura yake cas si rahisi mty kumfahamu bila sure, cas wengine yes tuna ndugu kibao US , inakua si rahisi kujua kwa maelezo

anahitaji kusaidiwa no need of privacy issue hapo, na ushaambiwa ana mental issue, or shida yako ni gani hapo?
Kuwa homeless ni mental issue tangu lini?

Mbona anaonekana anajitambua tu.

Wakumsaidia ni ndugu zake kama yeye awezi kumuweka kwake.

Vinginevyo angeweka picha yake na kuomba msaada kwa anaemjua amtafute anashida ya kuongea na ndugu zake bila ya kuweka narrative (which is pretty his interpretation of her situation) on what is going on with her life.

Uwezi kuvunja rights za mtu, invade her privacy and ignore her dignity; kisa unataka kumsaidia huo ni udhalilishaji.
 
Shit happens hizo nchi unakuta mtu hana makaratasi na hana marafiki au wanamtosa anaishia kuwa homeless and stressed.

Binafsi binamu yangu ni ‘on and off’ teja. Ugonjwa wake mkewe, mara mwisho mkewe kumtibua na jumba kubwa (home office) kuto renew makaratasi yake ya kusafiri (japo ana haki zingine) amekuwa teja na kibaka zaidi ya miaka 10 sasa anaishi mtaani. Ana ndugu zake wa tumbo moja na cousins kadhaa watu wamepigana kumsaidia mpaka wamechoka.

Kuna watu wanaanza kutumia madawa ya kulevya wanajiaribia maisha wenyewe.

Kuna watu hawana kazi au rent wanaishia kufukuzwa kwenye nyumba wanazoishi na hakuna wa kuwasaidia na kuna watu wana stress za papers.

Sababu ni luluki

Mwisho kabisa kwenye medical ethics kuna dhana ya right ‘uwezi kumpa mtu dawa au matibabu’ ambayo yeye hataki.

Alikadhalika kwa kanuni za Geneva convention on human right ‘kila mtu ana haki ya privacy and being treated with dignity’ uwezi kwenda kurekodi maisha ya mtu tena akiwa at her worst na kuitangazia dunia, wakati mwenyewe anamwambia hataki.

Jamaa kamkosea sana huyo dadnyuma ya keyboard watu huwa mnaongea sana
 
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.

Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya ya Akili, sijui nini kiliendelea baada ya hapo kati lakini kilichofuata amekuwa chizi na analala barabarani, amekuwa akifanyiwa ukatili wa kingono na Wanaume mara nyingi bila kuwa na msaada.

Nilienda Ubalozini mara kadha pia kuripoti ili ikiwezekana huyu Mtanzania asaidiwe lakini kinachoonekana wao (Ubalozi) ndio wanataka nianze kufanya kazi yao.

Wanataka kufuatilie na kujua details zaidi kuhusu huyo Mtanzania na mambo mengine kama hayo, mimi siwezi kuingilia hayo masuala ya wao, wenyewe ndio wataalam, mimi nikiwapa taarifa wanatakiwa kujua nini cha kufanya baada ya hapo.

Huyu mtanzania ninamfahamu kwa jina moja tu anaitwa Jane, mitaa ya Houston ndani ya Texas.

Maisha yake ni chini ya Daraja, amekuwa hivyohivyo akiishi chini ya Daraja.

Nilivyoanza kumjua
Kuna siku nikiwa na mke wangu kwenye bustani flani akasikia tunazungumza Kiswahili, akajumuika nasi na kuanza kuzungumza na kisha kujitambulisha.

Tukazungumza naye kwa Kiswahili na akajieleza naye anatoka Ukanda wa Kaskazini kama nilivyo mimi hapo nyumbani Tanzania.

Bahati mbaya nimesahau jina lake la pili na hata sas aukisema umuulie huwezi kupata jibu hilo.

Nimeshatoa picha zake mara kadhaa sehemu tofauti ili anayemjua iwe ni ndugu zake, jamaa au marafiki wamsaidie lakini sijafanikiwa katika hilo, ndio maana nimeona nitumie JamiiForums kufikisha ujumbe huu nadhani utawafikia wahusika na wanaweza kumsaidia.

Nipo tayari kuto ushirikiano kwa ambaye anaweza kuhitaji kumsaidia huyu au kama anawez kumtambua, nimewasilisha mawasiliano yangu kwa JamiiForums kwa mtu ambaye atahitaji kuwasiliana nami.
Post ya facebook ni ya mwaka 2018 ina maana baada ya miaka 6 bado anahangaika mitaani? Kama 2018 alikua kawehuka hali ikoje sasa?

Miaka 6 ndugu zake hawajapatikana?
 
Kuwa homeless ni mental issue tangu lini?

Mbona anaonekana anajitambua tu.

Wakumsaidia ni ndugu zake kama yeye awezi kumuweka kwake.

Vinginevyo angeweka picha yake na kuomba msaada kwa anaemjua amtafute anashida ya kuongea na ndugu zake bila ya kuweka narrative (which is pretty his interpretation of her situation) on what is going on with her life.

Uwezi kuvunja rights za mtu, invade her privacy and protect ignore her dignity; kisa unataka kumsaidia huo ni udhalilishaji.
Huwezi kueleweka kirahisi hapa.

Ujamaa ulifuta mipaka yote.
 
Back
Top Bottom