DOKEZO Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
I know her alivyoenda Marekani alimpandishia kioo Jamaa aliyemsaidia
Hamtaki tena Jamaa. Bila shaka Jamaa kamaliza game juu Kwa juu
Nipeni muda kidogo Nimtafute Jamaa Nikimpata nitaleta mrejesho
Tupe story kidogo ilikuwaje na anatokea maeneo gani hapa Tanzania, pia watu wa radio na mnaomiliki account za social media zenye followers wengi mnaweza saidia kuipush hii tarifa kumsaidia mtanzania mwenzetu maana balozi zetu naona zipo kwa ajiri ya kumpokea mh Rais akitembelea nchi zao si kusaidia Raia wake
 
Unatakiwa kuelewa mipaka yako na kuheshimu privacy ya mtu.

Kwanza umeenda kumrekodi bila ya ridhaa yake, unalazimisha kumpa msaada wa hela ambao auhitaji; halafu unamposti mitandaoni huo ni udhalilishaji.

Pili unalazimisha msaada kwa mtu ambae ajakuomba na hataki hiyo ni kuingilia rights zake. Dada anaonekana ni mzima maana unakiri umewahi kuongea nae na hata hapo kwenye video inaonekana anajielewa huo uchizi unampa wewe.

Tatu hujui changamoto zake za maisha hadi kua homeless, ungeanzia kudadisi hapo kimetokea nini kwenye maisha yake hadi kufikia alipofika.

Nne kama lengo ni kutaka ndugu zake wapate habari ungeweza anzisha mada kwa title yoyote na ku-crop sura yake tu na kuomba msaada kama kuna mtu anamfahamu huyo dada wakupe details za ndugu zake uwape taarifa, wao ndio wana mamlaka ya kwenda serikalini na kuomba msaada arudishwe.

Umemkosea sana huyo dada na kumdhalilisha.
Si bure
Wewe ni mchwawi 🙃
 
Kuwe na accountability kwa mabalozi wetu hii ni moja ya kazi zao raisi awawajibishe mabalozi wazembe kama huyu wa marekani
Kati ya balozi zisizo na msaada ni huu ubalozi wetu wa Marekani. Hata ukiwa na ishu ya passport ni heri tu usafiri kurudi Bongo. Hata sijui wapo kufanya nini. Ni ufisadi tu na kutumbua pesa za visa!

Lakini pia yule binti balozi sijui alikuwa personal secretary wa nani yule mara vu bin vu eti kapewa ubalozi tena wa US. Useless Embassy! 🚮🚮🚮
 
Matatizo ya akili yasikie kwa mwenzio.
Kuna rariki yangu anaishi na wapangaji wenzie mmoja ni rafiki yake. Sasa kumbe jamaa ana matatizo ya akili yaani baada ya miaka kadhaa uwa inamrudia .siku moja usiku yule jamaa mwenye matatizo ya akili akmfuata rafiki yangu usiku mlangoni kwake. Kashika biblia na bakora mbili.akagonga mlango jamaa yangu akamfungulia.yyle mwenye matatizo ya akili akamwambia rafiki yangu na kuuliza swali kila swali moja ukikosa bakora moja.weeee .🤣🤣🤣🤣
 
Unatakiwa kuelewa mipaka yako na kuheshimu privacy ya mtu.

Kwanza umeenda kumrekodi bila ya ridhaa yake, unalazimisha kumpa msaada wa hela ambao auhitaji; halafu unamposti mitandaoni huo ni udhalilishaji.

Pili unalazimisha msaada kwa mtu ambae ajakuomba na hataki hiyo ni kuingilia rights zake. Dada anaonekana ni mzima maana unakiri umewahi kuongea nae na hata hapo kwenye video inaonekana anajielewa huo uchizi unampa wewe.

Tatu hujui changamoto zake za maisha hadi kua homeless, ungeanzia kudadisi hapo kimetokea nini kwenye maisha yake hadi kufikia alipofika.

Nne kama lengo ni kutaka ndugu zake wapate habari ungeweza anzisha mada kwa title yoyote na ku-crop sura yake tu na kuomba msaada kama kuna mtu anamfahamu huyo dada wakupe details za ndugu zake uwape taarifa, wao ndio wana mamlaka ya kwenda serikalini na kuomba msaada arudishwe.

Umemkosea sana huyo dada na kumdhalilisha.
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana
 
I know her alivyoenda Marekani alimpandishia kioo Jamaa aliyemsaidia
Hamtaki tena Jamaa. Bila shaka Jamaa kamaliza game juu Kwa juu
Nipeni muda kidogo Nimtafute Jamaa Nikimpata nitaleta mrejesho
Toa details dnugu zake hawawezi kumtupa nina story kama yako ila dogo alirudi kwako na ilikuwa mkoani tu.

Tunaomba apate majina matatu kabisa .
 
Unatakiwa kuelewa mipaka yako na kuheshimu privacy ya mtu.

Kwanza umeenda kumrekodi bila ya ridhaa yake, unalazimisha kumpa msaada wa hela ambao auhitaji; halafu unamposti mitandaoni huo ni udhalilishaji.

Pili unalazimisha msaada kwa mtu ambae ajakuomba na hataki hiyo ni kuingilia rights zake. Dada anaonekana ni mzima maana unakiri umewahi kuongea nae na hata hapo kwenye video inaonekana anajielewa huo uchizi unampa wewe.

Tatu hujui changamoto zake za maisha hadi kua homeless, ungeanzia kudadisi hapo kimetokea nini kwenye maisha yake hadi kufikia alipofika.

Nne kama lengo ni kutaka ndugu zake wapate habari ungeweza anzisha mada kwa title yoyote na ku-crop sura yake tu na kuomba msaada kama kuna mtu anamfahamu huyo dada wakupe details za ndugu zake uwape taarifa, wao ndio wana mamlaka ya kwenda serikalini na kuomba msaada arudishwe.

Umemkosea sana huyo dada na kumdhalilisha.
Tatizo liko wapi mzee ? Mbona ni taarifa !

Sasa sikia huku kuna nguvu huu mwezi hautoisha atapata ndugu, jamaa kafikisha taarifa kwanza huyo ni ndugu yake wa kaskazini labda useme jamaa angeacha mawasiliano ili kuendeleza ushirikiano .
 
Maisha haya daa
Halafu balozi zetu huwa hazina msaada kabisa sijui kwanini

Kuna mataifa hata mtu wao akifungwa au kuhukumiwa kufa watamtoa.

Sasa masikini huyo tena mwanamke wanashindwa hata kumpeleka hospitali
Yaani balozi za Tanzania nchi za kigeni huwaona watanzania kama manyani, usirogwe kwenda balozi zetu ukiwa na shida utajuta.
 
Unatakiwa kuelewa mipaka yako na kuheshimu privacy ya mtu.

Kwanza umeenda kumrekodi bila ya ridhaa yake, unalazimisha kumpa msaada wa hela ambao auhitaji; halafu unamposti mitandaoni huo ni udhalilishaji.

Pili unalazimisha msaada kwa mtu ambae ajakuomba na hataki hiyo ni kuingilia rights zake. Dada anaonekana ni mzima maana unakiri umewahi kuongea nae na hata hapo kwenye video inaonekana anajielewa huo uchizi unampa wewe.

Tatu hujui changamoto zake za maisha hadi kua homeless, ungeanzia kudadisi hapo kimetokea nini kwenye maisha yake hadi kufikia alipofika.

Nne kama lengo ni kutaka ndugu zake wapate habari ungeweza anzisha mada kwa title yoyote na ku-crop sura yake tu na kuomba msaada kama kuna mtu anamfahamu huyo dada wakupe details za ndugu zake uwape taarifa, wao ndio wana mamlaka ya kwenda serikalini na kuomba msaada arudishwe.

Umemkosea sana huyo dada na kumdhalilisha.
Kwahiyo mtu alie changanyikiwa aombwe ridhaa ya kurekodiwa Ili asaidiwe?
Haya mambo ya sheria na haki za binadam yamevamiwa
 
Back
Top Bottom