DOKEZO Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sasa si ndo wee umsaidie hapo kwa kumuhifadhi na nk, huku ukisubiri ndugu zake wajitokezee.

Kumuacha ahangaike na huku unamtangaza, si unamchoresha tyuu.
Unaongea jambo gumu sana ambalo hata wewe mwenyewe usingeliweza
Na hapa inaongelewa us na siyo Tanzania japo hata ingekuwa Tanzania bado ni ngumu kuishi na huyo mtu inabidi uache kazi ila ufanye hiyo kazi pia hujui mdau ana maisha gani huko
Mdau amefanya jambo kubwa mara mia kuliko hichi unachoongea hapa
Huyu mtu anaenda kupata msaada mdau amefanya amefanya alichoweza inawezekana kabisa wewe ungekutana nae usingetaka hata kujua chochote kuhusu yeye


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
linaminyamanyama sis mchezooo huyuu atakuwa aliingiliaaa mke wamtu watu wakafanyaa yaooo ooh sema wamechelewa wangemuwahi Tanga angepona
 
Well then don’t quote me whilst dismissing my arguments. Otherwise I am gonna give you facts why it is wrong to record people without their consent.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nadhani wewe ni moja walio jifunzia English pale cocobich πŸ™†πŸΏβ€β™€οΈπŸ™†πŸΏβ€β™€οΈshule hakuna hapo du samia Ana kazi yaani upate ruhusa kwa mtu mwenye ugonjwa wa akili hata wewe nimesha gundua una ugonjwa wakili Ila wewe mental disorder yako inakutuma kuandika kizungu πŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ningefanya km ambavyo nimeshauri huyo muhanga afanyiwe.
Naongea nachokiaminii.
 

Uwezi kuwa educated kwenye hii dunia kama kichwa chako umekifunga na unabisha tu bila ya kuelewa kanuni za afya zenye kupinga unyanyapaaji wa wagonjwa.

In this instance huyo Jane sio mgonjwa (maana humu ni shida people can’t distinguish between an hypothetical statement) and the actual view stance of the contributor. Mara utaona poyoyo mmoja si ulisema Jane mzima sasa tena mbona unasema mgonjwa. The nonsense with some people in this forum is beyond me.

Responsible media outlet wangeshaifuta hiyo video ya jamaa it is just insubordination and patronising nothing else .

Sasa huko kwenye lugha kama kijijini kwenu kizungu ni issue au wewe ndio wa kwanza kufika developed nation kwenye ukoo wenu; elewa huo umuhimu wa hivyo vitu ni kwenye chako tu sio vya wote humu JF.
 
Nimepitia thread hii na kusoma karibia comments zote, nilichogundua ni kwamba bado kuna tatizo kubwa Sana kwa upande wa wa-Tanzania hususani kwenye suala zima la 'kufikiri sawasawa kwa kutumia ubongo.' Kuna tatizo kubwa Sana tena Sana.
Sana zaidi ya sana, wengi wanawaza kwa ufupi sana sjui ugumu wa maisha? Mtu anatukana eti kwanini amrekodi na asimchukue eti akamhifazi kwake, hawezi jiuliza jamaa ametumia muda wake kumfatilia hadi ubalozini ila hawakumsaidia, imebidi alete hadi jf kama watamtambua ila bado kuna umbwa zinatukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…