Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Unga unamchanganya si lolote
Kwa aliyeishi Marekani atanielewa
Kwa aliyeishi Marekani atanielewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongea jambo gumu sana ambalo hata wewe mwenyewe usingeliwezaSasa si ndo wee umsaidie hapo kwa kumuhifadhi na nk, huku ukisubiri ndugu zake wajitokezee.
Kumuacha ahangaike na huku unamtangaza, si unamchoresha tyuu.
ata sijui pa kuanzia ni wapiFanya kutengeneza uzi wa kuchati mimi na wewe tu
😂😂😂😂😂 Basi fanya ukuje nikufundishe je...!!!!ata sijui pa kuanzia ni wapi
apana sitaki coz sitawahi kuja kua na matumiz nayo 😂😂😂🖐🏾🙌🏾nehiii😂😂😂😂😂 Basi fanya ukuje nikufundishe je...!!!!
Basi uje tuu...apana sitaki coz sitawahi kuja kua na matumiz nayo 😂😂😂🖐🏾🙌🏾nehiii
Wasukuma huwa mnawaza kulogana tu mamayeeeeMasikini dada wa watu isije kuwa watu wa kijijini kwao wamemroga.
Mungu amfanyie wepesi.
Ni kwa ajili ya wafanyabiashara na wanasiasahivi hatuna ubalozi marekani, wanafanya nini huko au wanakula tu kodi zetu?
😂😂😂😂Nadhani wewe ni moja walio jifunzia English pale cocobich 🙆🏿♀️🙆🏿♀️shule hakuna hapo du samia Ana kazi yaani upate ruhusa kwa mtu mwenye ugonjwa wa akili hata wewe nimesha gundua una ugonjwa wakili Ila wewe mental disorder yako inakutuma kuandika kizungu 🏃🏿🏃🏿😂😂😂Well then don’t quote me whilst dismissing my arguments. Otherwise I am gonna give you facts why it is wrong to record people without their consent.
Ningefanya km ambavyo nimeshauri huyo muhanga afanyiwe.Unaongea jambo gumu sana ambalo hata wewe mwenyewe usingeliweza
Na hapa inaongelewa us na siyo Tanzania japo hata ingekuwa Tanzania bado ni ngumu kuishi na huyo mtu inabidi uache kazi ila ufanye hiyo kazi pia hujui mdau ana maisha gani huko
Mdau amefanya jambo kubwa mara mia kuliko hichi unachoongea hapa
Huyu mtu anaenda kupata msaada mdau amefanya amefanya alichoweza inawezekana kabisa wewe ungekutana nae usingetaka hata kujua chochote kuhusu yeye
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Unafikiri ughaibuni maisha rahisi mpaks uhifadhi watu kirahisi?Sasa si ndo wee umsaidie hapo kwa kumuhifadhi na nk, huku ukisubiri ndugu zake wajitokezee.
Kumuacha ahangaike na huku unamtangaza, si unamchoresha tyuu.
😂😂😂😂Nadhani wewe ni moja walio jifunzia English pale cocobich 🙆🏿♀️🙆🏿♀️shule hakuna hapo du samia Ana kazi yaani upate ruhusa kwa mtu mwenye ugonjwa wa akili hata wewe nimesha gundua una ugonjwa wakili Ila wewe mental disorder yako inakutuma kuandika kizungu 🏃🏿🏃🏿😂😂😂
asante kwa kuchagua Ms R,mdau unaemwambia amevurugwa kwasasa,, asante 😂🖐🏾Basi uje tuu...
Mana kuna vile vitu roho yako inapenda 😂😂😂😂
😂😂😂😂 Sawa..asante kwa kuchagua Ms R,mdau unaemwambia amevurugwa kwasasa,, asante 😂🖐🏾
asante kwa kuwa mwelewa 😂😂😂😂😂😂 Sawa..
Ngoja nitulie kwanza..
Mzuka umekata
Sana zaidi ya sana, wengi wanawaza kwa ufupi sana sjui ugumu wa maisha? Mtu anatukana eti kwanini amrekodi na asimchukue eti akamhifazi kwake, hawezi jiuliza jamaa ametumia muda wake kumfatilia hadi ubalozini ila hawakumsaidia, imebidi alete hadi jf kama watamtambua ila bado kuna umbwa zinatukanaNimepitia thread hii na kusoma karibia comments zote, nilichogundua ni kwamba bado kuna tatizo kubwa Sana kwa upande wa wa-Tanzania hususani kwenye suala zima la 'kufikiri sawasawa kwa kutumia ubongo.' Kuna tatizo kubwa Sana tena Sana.
Sasa kumchoresha km hivyo ndo nn? Aache uwaki bas.Unafikiri ughaibuni maisha rahisi mpaks uhifadhi watu kirahisi?