DOKEZO Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mpelekeen kwa mwamposa ama pigen no yakee awaombeee huko
 
Chadema ndio wanavunja umoja wetu
 
Nitaokota maduvet nijifunike mbona
Itategemea upo state gani, nafikiri kuna baadhi hali ya hewa zao huvumilika ila kwa ujumla misimu yote ni mateso, winter baridi inapuliza kisawasasawa, summer joto sana yaani bongo hakuna joto bobu hivyo bas hali ya hewa ndio inawaua homeless wengi na sio njaa.
 
Doh na mm nitakuja kujionea mwenyewe
 
Kama hana ndugu tz heri abaki huko huko. Alafu mirembe yao haifanyi kazi ?uongozi wa shule aliyeenda vip?
 
Tusihukumu, hakuna ajuwaye kesho yetu.

Mwenyezi Mungu amsitiri na amjaalie aondokane na hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…