BIG STONE AND CONER STONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2023
- 421
- 728
Sasa hapo kuna issue nyingi, miaka 10 Marekani huna makaratasi ni uzembe.
Halafu usikute aliingia kwenye drug abuse.
Ujuwe yule Whitney Houston alikuwa demu smart sana lakini alipokutana na Bob Brown ndio alimfundisha kubwia unga hadi kifo chake.
Unafikili kumhifadhi mtu mwenye tatizo la akili ni jambo dogo?Sasa si ndo wee umsaidie hapo kwa kumuhifadhi na nk, huku ukisubiri ndugu zake wajitokezee.
Kumuacha ahangaike na huku unamtangaza, si unamchoresha tyuu.
Wewe nae una matatizo ya akili kwa kuleta ujuaji uchwara. Unaita watu mbuzi at the same time unahimiza faragha za watu. Sasa nani Meee hapo?Nyinyi mbuzi, hivi hamjui faragha za watu , mnabwabwaja tu maisha ya watu mitandaoni
Naungana na wewe mkuu ila ni wachache sana watakao kuelewa hasa hili la kumrekodi na kupost mtandaoni,Unatakiwa kuelewa mipaka yako na kuheshimu privacy ya mtu.
Kwanza umeenda kumrekodi bila ya ridhaa yake, unalazimisha kumpa msaada wa hela ambao auhitaji; halafu unamposti mitandaoni huo ni udhalilishaji.
Pili unalazimisha msaada kwa mtu ambae ajakuomba na hataki hiyo ni kuingilia rights zake. Dada anaonekana ni mzima maana unakiri umewahi kuongea nae na hata hapo kwenye video inaonekana anajielewa huo uchizi unampa wewe.
Tatu hujui changamoto zake za maisha hadi kua homeless, ungeanzia kudadisi hapo kimetokea nini kwenye maisha yake hadi kufikia alipofika.
Nne kama lengo ni kutaka ndugu zake wapate habari ungeweza anzisha mada kwa title yoyote na ku-crop sura yake tu na kuomba msaada kama kuna mtu anamfahamu huyo dada wakupe details za ndugu zake uwape taarifa, wao ndio wana mamlaka ya kwenda serikalini na kuomba msaada arudishwe.
Umemkosea sana huyo dada na kumdhalilisha.
Cocastic mimi nikilaza??Nilicho kiandika ni kwa wenye akili na uelewa tyuu, nyie vilazaa sio size yenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mleta mada alijuaje kama ni Mtz!? Hata kama aliongea naye kiswahili....bado haitoshi kusema yeye Mtz ....
Mkuu asante kwa taarifa nadhani ndugu zake wanaeza kupata habari!ila huko US si kuna vituo vya kutunza hawa watu!i think ni busara ukampeleka huko ktk vituo ili apate matibabu huku ndugu wakisubiriwa!si serikali ya US ndo inawatunza au hali ikoje huko.Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.
Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya ya Akili, sijui nini kiliendelea baada ya hapo kati lakini kilichofuata amekuwa chizi na analala barabarani, amekuwa akifanyiwa ukatili wa kingono na Wanaume mara nyingi bila kuwa na msaada.
Nilienda Ubalozini mara kadha pia kuripoti ili ikiwezekana huyu Mtanzania asaidiwe lakini kinachoonekana wao (Ubalozi) ndio wanataka nianze kufanya kazi yao.
Wanataka kufuatilie na kujua details zaidi kuhusu huyo Mtanzania na mambo mengine kama hayo, mimi siwezi kuingilia hayo masuala ya wao, wenyewe ndio wataalam, mimi nikiwapa taarifa wanatakiwa kujua nini cha kufanya baada ya hapo.
Huyu mtanzania ninamfahamu kwa jina moja tu anaitwa Jane, mitaa ya Houston ndani ya Texas.
Maisha yake ni chini ya Daraja, amekuwa hivyohivyo akiishi chini ya Daraja.
Nilivyoanza kumjua
Kuna siku nikiwa na mke wangu kwenye bustani flani akasikia tunazungumza Kiswahili, akajumuika nasi na kuanza kuzungumza na kisha kujitambulisha.
Tukazungumza naye kwa Kiswahili na akajieleza naye anatoka Ukanda wa Kaskazini kama nilivyo mimi hapo nyumbani Tanzania.
Bahati mbaya nimesahau jina lake la pili na hata sas aukisema umuulie huwezi kupata jibu hilo.
Nimeshatoa picha zake mara kadhaa sehemu tofauti ili anayemjua iwe ni ndugu zake, jamaa au marafiki wamsaidie lakini sijafanikiwa katika hilo, ndio maana nimeona nitumie JamiiForums kufikisha ujumbe huu nadhani utawafikia wahusika na wanaweza kumsaidia.
Nipo tayari kuto ushirikiano kwa ambaye anaweza kuhitaji kumsaidia huyu au kama anawez kumtambua, nimewasilisha mawasiliano yangu kwa JamiiForums kwa mtu ambaye atahitaji kuwasiliana nami.
Kwamba ilimradi na wewe uonekane umetoa maoni jamii forum sio!?🐒Unatakiwa kuelewa mipaka yako na kuheshimu privacy ya mtu.
Kwanza umeenda kumrekodi bila ya ridhaa yake, unalazimisha kumpa msaada wa hela ambao auhitaji; halafu unamposti mitandaoni huo ni udhalilishaji.
Pili unalazimisha msaada kwa mtu ambae ajakuomba na hataki hiyo ni kuingilia rights zake. Dada anaonekana ni mzima maana unakiri umewahi kuongea nae na hata hapo kwenye video inaonekana anajielewa huo uchizi unampa wewe.
Tatu hujui changamoto zake za maisha hadi kua homeless, ungeanzia kudadisi hapo kimetokea nini kwenye maisha yake hadi kufikia alipofika.
Nne kama lengo ni kutaka ndugu zake wapate habari ungeweza anzisha mada kwa title yoyote na ku-crop sura yake tu na kuomba msaada kama kuna mtu anamfahamu huyo dada wakupe details za ndugu zake uwape taarifa, wao ndio wana mamlaka ya kwenda serikalini na kuomba msaada arudishwe.
Umemkosea sana huyo dada na kumdhalilisha.
Medical ethicsKwahiyo mtu alie changanyikiwa aombwe ridhaa ya kurekodiwa Ili asaidiwe?
Haya mambo ya sheria na haki za binadam yamevamiwa
Mkuu K haijaathirika na matatizo ya akili, unaweza kuta naye ana enjoy tu dude🤣Ila wanaume bana…😀.
Yaani kuna njemba zinamkula hivyo hivyo alivyo na matatizo yake ya kiakili aliyonayo!
Sad.
Makamba pia linamuhusu hili kama ubalozi umeshindwa , tujitahidi kupushi hata X kule limfikie .Nimesikitika sana kwa jibu la balozi zetu. Sasa wapo huko nje ubalozini kwa kazi gani kama wanashindwa saidia watu wetu? Nimeumia kwa kweli, bora tuendelee kula ugali na dagaa nchini kwetu kuliko kwenda nje huko kudharirika bila msaada. Kwa namna huyo binti alivyo, hata usingesema anadharirishwa kingono nilijua hilo lipo
Very painful. Vipi nyie diaspora mnafanyaje kumsaidia kwa kumkamata na kuishi naye (Kumuhifadhi sehemu salama) huku mkifanya utaratibu wa kumrudisha nyumbani?
Kwenye nchi isiyofuata utaratibu wa medical intervention unaweza ona kilichofanywa sawa.Kwamba ilimradi na wewe uonekane umetoa maoni jamii forum sio!?🐒
😳Kuna binamu yangu naye ni binti alipiga six fresh kwa ufaulu mzuri pale msalato girls miaka ya 97, akakacha kwenda chuo, akaenda Marekani, alikaa huko zaidi ya miaka 10 hakuna mafanikio yoyote ukizingatia wenzake waliamua kupambana hapa Bongo wengi wapo kwenye position na maisha mazuri , so ndugu zake wameamua kumrudisha Bongo baada ya kupata Sonoma na kurun mental health, siku hizi anafungiwa tu ndani maskini, kumuona na urembo wake utasikitika sana.