Vugu-Vugu
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 1,381
- 1,600
===
Rais Samia Suluhu Hassan ampongeza Bi Joyce Msuya kwa kuaminiwa kwake na kuteuliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ( UN ) Bw Antonio Guterres,
Bw Guterres amemteua kuwa Naibu katibu mkuu wake anayeshughulikia maswala ya Kibinadamu na Naibu mratibu wa misaada ya dharula Duniani,
===
Naona Watanzania chini ya Mhe Rais Samia Suluhu Hassan tumeanza kuaminika tena Kimataifa,
Hakika hakuna mwenye Upepo mzuri kama Mhe Rais Samia Suluhu Hassan,
Hongera Sana Bi Joyce Msuya kwa heshima hii kubwa kwako na kwa Taifa la Tanzania,
#Uteuzi huu umeipaisha sana Tanzania Kimataifa,Kaziiendelee Kimataifa