Mtanzania Joyce Msuya ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa UN, Rais Samia ampongeza

Huo ushirikiano wa maswala ya kibinadamu tungetarajia uanzia nyumbani(charity begins at home).

Mnaongelea ubinadamu wakati humu nchini tuna mambo yasiyo ya kibinadamu kama kuwekeana ndani,watu kutekwa, n.k.

Ubinadamu sio kwenye majanga tu, bali ni katika kuheshima haki za binadamu.
Mkuu Salary Slip kwa machache mazuri kama haya tuipongeze Serikali ya awamu ya 6.

Mwaka Jana wakati wa Magufuli Liberata Mulamula na Cervasicus Likwelile walipata kazi za kwenda kuwa wa kuu wa Commission mbili tofauti kule African Union. Lakini Magufuli alikataa ku endorse waende na nafasi zikapewa nchi zingine
 
Praise Team bwana mapambio hadi msikitini khaaaa..........
 
Shida iko wapi?

Shida unajipendekeza mno tena kama kibinti kiwinda chips na coca!! Hapo juu umeleta habari ya Membe na Ukatibu Mkuu Jumuiya ya Madola. Teuzi hizo za juu huwa “cleared” na mamlaka ya nchi - hazifanywi na nchi husika. Member hakuwa “cleared” na kama story yako iko sahihi!!

Huwezi kumsifia SHH kama ndiye aliyefanya uteuzi na ukaacha aliyeteuliwa kwa kujijengea sifa za kuteuliwa katika nafasi kama hiyo!!

Tabia ya kujikombakomba itakufikisha pabaya - itakukosesha kuona hata yale mabaya. Kujipendekeza hufumba uwezo wa kutambua mambo!!
 
Tatizo humu hatujuani,Achana na Mimi
 
Hawa ndio wanachangia Tanzania iwe miongoni mwa nchi zenye watu wenye IQ ndogo sana duniani watafanya hata huyo Bi. Msuya aonekane kama vile sio mtanzania. Bogus kabisa.
 
Huo ushirikiano wa maswala ya kibinadamu tungetarajia uanzia nyumbani(charity begins at home).

Mnaongelea ubinadamu wakati humu nchini tuna mambo yasiyo ya kibinadamu kama kuwekeana ndani,watu kutekwa, n.k.

Ubinadamu sio kwenye majanga tu, bali ni katika kuheshima haki za binadamu.
Nadhani umeangalia mtu mmoja tu.ama nakosea usikute hata ndugu yako kawekwa ndani Ila umemuona huyo mungu wako
 
Back
Top Bottom