Mtanzania Joyce Msuya ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa UN, Rais Samia ampongeza

Stuxnet,

..hii sio lateral movement ndani ya UN? hebu angalia hapo chini.

Nafasi ya zamani:-
Assistant Secretary-General and Deputy Executive Director of the United Nations Environment Programme in Nairobi, Kenya.

Nafasi mpya:-
Assistant Secretary-General for Humanitarian Affairs and Deputy Emergency Relief Coordinator in the Office for the Coordination of Humanitarian Affairs.
 
Khaaa, Nenda kamuulize Mzee Membe na Ukatibu mkuu wa Jumuiya ya Madola
Membe uteuzi wake ungetegemea kuwa kisiasa zaidi ; huyu mama Msuya uteuzi wake sio wa kisiasa na sio mwanasiasa ni mtendaji!!! Hata hivyo she will be well advised kujitahidi kuwapa nafasi watanzania wenzie pale nafasi zinapojitokeza; asije akawa kama AshaRose Migiro alipokuwa huko ambapo hakufanya jitihada zozote za kuwapatia nafasi Watanzania kama wafanyavyo mataifa mengine!!! Hongera zako mama.
 
Hujui kitu wewe kaaa kimya
 
Hujui kitu wewe kaaa kimya

Nyie wakina Membe matatizo yenu bado hayajaisha; mtahangaika na kutanga tanga sana lakini vyovyote itakavyokuwa mnanuka kwenye pua za waadilifu!!!!
 
Understood, thanks
 
Buyengwa unaona kuwa nafas aliyekuwa nayo Nairobi dhidi ya hii mpya anayokwenda ziko sawa? Think twice
Haziko sawa. Ila hakuwa junior UN staff. Mtu aliyekuwa Assistant Secretary-General and Deputy Executive Director wa UNEP, huwezi kumwita junior staff mzee.
 
hako UN hakunaga kulogana huko
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
 
She is beautiful
 
Kwa hiyo sifa apewe SSH

Kama ambavyo yule katibu muheneze wa CCM katika press yake alivyosema Kamati Kuu imempongeza Mkt kwa kushughulikia vizuri tatizo la maji. Wakisahau kwamba Watu baadhi wameomba na kufunga Mwenyezi Mungu wa Mbingu akainyeshea nchi mvua. Sifa na Shukrani za Mungu anapewa mwanadamu. Hii ni kufuru kubwa na siku isiyojulikana Mungu Mkuu ataonesha hasira yake kwa sababu kasema wazi "Yeye ni Mungu mwenye wivu."
 
Inapendeza...
Asha Rose Migiro atakua kafurahi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…