luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
hiyo n kaz ya un hazuiwi nchi yoyote ile dunianAngekuwa mKenya kateuliwa kufanya kazi TZ, ungesikia mara oh asipewe kibali cha kufanya kazi kuna waTZ kibao wana uwezo wa kufanya kazi hiyo, oh elimu yake kiwango gani?. Karibu Nairobi dada Joyce, sisi hatuna matata.
yaap Kilimanjaro inapiga kitabu vibaya mnoWenye pesa hawana longolongo kwenye elimu za watoto wao ndio maana wakigraduate wanapiga box kwenye taasisi za maana.Kajamba nani kufanya kazi halmashauri na salary ya 700,000 hapo bado makato.
hahaha hawez tengua uteuzYaani Magu....
Kile kiti hakimpendezi hata kidogo....
hongera watan Kilimanjaro tumepiga kitabu from zaman wenye roho mbaya watakufa presha tu Kilimanjaro itazd kupaa idara zoteAnother one from Pare
vijitu vyenye wivu na watu wa kaskaz. utavijua tu na bado mtazd kubaki maskin huku.kaskazn ikizd kupaaAharibiwe kwa sababu ipi???
hiyo posti ina kipi special kawaida sana aisee ....
wabongo msiwe washamba wa kazi?
kama unaweza kusomesha mtoto nje ya nchi ina maana una uwezo wa kupata elimu bora!Dah... Ungesema Elimu bora...Ingependeza sana....
immunology na Fedha wapi na wapi, au unadhan kujua kiingereza ndo kuujua uchumi?Huyu ndiye alitakiwa awe waziri wa Fedha!
na wewe una elimu gan mkuu?Kilimanjaro ni chimbuko LA elimu
Bila kiingereza tunadanganyana tuHivi bila kujua Kingereza, hii position angeipata ..!!
Hii ya kujua Kingereza siyo kuelimika. ... awadanganye wengine!!
Angekuwa hapa tusingempa mkopo wa HELSBuniversity zake umeziona lakini.. je na nyie mmesomea huko pia au bio chemistry zenu ni za university za janja janja
kumbe una upeo finyu hivi muraa?immunology na Fedha wapi na wapi, au unadhan kujua kiingereza ndo kuujua uchumi?
Nina ka masters kangu ka statistics nilikokapata hanze universityna wewe una elimu gan mkuu?