luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
hiyo n kaz ya un hazuiwi nchi yoyote ile dunianAngekuwa mKenya kateuliwa kufanya kazi TZ, ungesikia mara oh asipewe kibali cha kufanya kazi kuna waTZ kibao wana uwezo wa kufanya kazi hiyo, oh elimu yake kiwango gani?. Karibu Nairobi dada Joyce, sisi hatuna matata.