MTANZANIA kumuoa mtoto wa rais Ruto wa Kenya

MTANZANIA kumuoa mtoto wa rais Ruto wa Kenya

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Kijana wa kitanzania issaya yunge, ametambulishwa rasmi kama mchumba wake na Charlene ruto, mtoto wa muheshimiwa William ruto, rais wa kenya.

Za chini chini inasemekana kijana huyu, ni mhitimi WA CHUO cha IFM, ni mjasiriamali, na ndio miliki wa soma app. Naendelea kufatilia wadhifa wake na wengine watatujuza zaidi.

Screenshot_20260808-201204.jpg
 
Dah hongera zake sana sio kitu kidogo kupata Fursa ikulu kongole isaya
 
Back
Top Bottom