Mtanzania kwafukuta, Absalom Kibanda kupewa likizo ya lazima kupisha uchaguzi Mkuu

Sasa wakati huu nimepata taarifa kuwa Absalom Kibanda, Kulwa Kaledia na Arodia Peter wamesimamishwa.Ova
Too little too late!.

Ili mbegu iote, lazima kwanza ife!.

Ukiona mateso yamezidi, ujue ukombozi unakaribia.

Mwisho wa yote haya ni 4 days to come!, yana mwisho haya na mwisho umefika!.

Pasco
 
Mmeanza udaku sasa. Maongezi ya rais ati mnayapata kirahisi namna hii wacheni udaku.
 
Udaku wa kike unapofanywa na wanaume ni kichefuchefu....
 

Naweza kuipata hiyo copy yenye habari ya madudu ya serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…